Tumainiandy
JF-Expert Member
- Jul 25, 2014
- 430
- 91
Nauza bata mzinga wakubwa wanakaribia kutaga na ni tayari kwa nyama wako 8 waliobaki jike 6 na dume wawili kwa Tshs 175000 kwa mmoja.
Ahsante
Ahsante
Nauza bata mzinga wakubwa wanakaribia kutaga na ni tayari kwa nyama wako 8 waliobaki jike 6 na dume wawili kwa Tshs 175000 kwa mmoja.
Ahsante
Mkuu naomba ukifanikiwa kuuza kwa hiyo bei unambie maana ninao wengi.
Unamaanisha kwa hapo uko na million bata mzinga 8???? & acha nami nianze kuwafuga ikifika june 2016 nami nishike 20million
Mkuu naomba ukifanikiwa kuuza kwa hiyo bei unambie maana ninao wengi.
Wa kwako wana average uzito gani? Uko wapi?
Wewe uko wapi? mimi nataka bata mzinga wa kufuga, nipe bei.
Namaanisha wanalishwa chakula gani?
Mkuu naomba ukifanikiwa kuuza kwa hiyo bei unambie maana ninao wengi.
Watamu hao hataree
Nilishawauza mkuu,hawana tofauti na kuku kwenye chakula,wanataga mayai 8-12,wanatamia siku 18.Unao kiasi gani mkuu??,halafu naomba ufafanuzi kidogo wa jinsi ya kuwafuga.matharani vyakula vyao,sehemu ya kuwafugia,magonjwa,halafu utagaji wa mayai,wanataga mangapi na je yanachukua muda gani hadi kuangua vifaranga?.
Nilishawauza mkuu,hawana tofauti na kuku kwenye chakula,wanataga mayai 8-12,wanatamia siku 18.