Bata la Valentine's day

Tukutane uwanjani tarehe 14 February tafuta kiwanja maridadi kati ya Zanzibar au Arusha nitakata tiketi kabisa naamini mecgi itakayochezwa itakua ya viwango sana ISO, TBS
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ MechiπŸ™„!??
Nilivyo na allergy na Mechi..,πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mechi[emoji849]!??
Nilivyo na allergy na Mechi..,[emoji3][emoji3][emoji3]
Utakua una tatizo la kihormones, dalili zikizidi muone Daktari, ukiwa sawa hebu niombe tena hela
 
Nitakua na mpenzi wangu Heineken baridiiiii....maeneo ya joyeslava goba
 
Ndo maana nikasema nitakugawa blaza
Huwezi kupata blaza Kama mimi nigawe uone mizimu ya homu inavyodili nawe si unaijua mizimu yenyewe ile ikipandaga inaombaga Hadi konyagi na ubuyu! We jichanganye Sasa..πŸ˜…
 
Huwezi kupata blaza Kama mimi nigawe uone mizimu ya homu inavyodili nawe si unaijua mizimu yenyewe ile ikipandaga inaombaga Hadi konyagi na ubuyu! We jichanganye Sasa..πŸ˜…
🀣🀣🀣🀣kenzy wewe🀣🀣
 
🀣🀣🀣🀣kenzy wewe🀣🀣
We nigawe tu hutapambana na Mimi utapambana na mizumu ya ukoo na nachokuomba ikiwa inashughulika nawe usiniite maana huwa sipendi kuingilia kazi za ukoo..🀣🀣
 
We nigawe tu hutapambana na Mimi utapambana na mizumu ya ukoo na nachokuomba ikiwa inashughulika nawe usiniite maana huwa sipendi kuingilia kazi za ukoo..🀣🀣
Basi blaza sikugawi tena.maana mizimu inasafishaga πŸ˜†πŸ˜†
 
Basi blaza sikugawi tena.maana mizimu inasafishaga πŸ˜†πŸ˜†
Cha kufanya we nisapoti tu sisi ndo mizumi ijayo kitatukoma kizazi kinachokuja wakati huo mi nikiwa mzimu nitawaomba hadi Safari lager na kitimoto bila kusahau na kompyuta mpakato..🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…