You’re missed too jirani yangu..Ua missed sana jirani hamna banah kuna nyuzi nikiwepo nina uhakika hutakosa [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Toa hela wewe, ubahili tu hata kwenye vitu adhimu, kopa hata bank mwanaume ni risk takerVijana kuweni makini msikubali vizinga jumapili
Ni bora utoe sadaka japo tizama na kanisa la kutoa pia hiyo sadaka SI kanisa lina kila kitu afu unatoa sadaka ya nini sasa? bora ununue unga,mchele ,mafuta upeleke kwa wenye mahitaji
Hakuna cha kukulana kimasihara jirani yangu.ukiona kanikula jua nimetaka kuliwa jirani yanguKasije kakakula jirani yangu kimasihara kaa mbali nae mita mia moja
[emoji23] [emoji119]Toa hela wewe, ubahili tu hata kwenye vitu adhimu, kopa hata bank mwanaume ni risk taker
Sawa mkuuNdo nipo hapa na shetani tunapanga siku hiyo ziingie mimba ngapi na nani na nani tuwaunge kwenye grid ya taifa bila kusahau fumanizi ngapi zitokee na kutokana na mikusanyiko ya watu siku hiyo je koona tuisambaze kwa njia gani rahisi na ya haraka zaidi!,pia kwenye unywaji wapi tukoleze wapi tupunguz!.. mwaka huu tumeamua hadi koka zileweshe siku hiyo! Na nani na nani tuwacheleweshe kurudi nyumbani au warudi usubuhi kabisa!
Bado kwa zile Bata za kuzurura usiku lazima tuzikamatishe polisi zikalale selo na ikibidi mpk jela.
Kwa wale ambao valentine wao ni mabeki tatu wajihadhari sana maana tutawawezesha siku hiyo mimba hata ya kumgusa tu!.
Nawatakia Valentino njema muhimu muwe makini.
Siku hiyo housi gal utampka nafasi gani blazaNdo nipo hapa na shetani tunapanga siku hiyo ziingie mimba ngapi na nani na nani tuwaunge kwenye grid ya taifa bila kusahau fumanizi ngapi zitokee na kutokana na mikusanyiko ya watu siku hiyo je koona tuisambaze kwa njia gani rahisi na ya haraka zaidi!,pia kwenye unywaji wapi tukoleze wapi tupunguz!.. mwaka huu tumeamua hadi koka zileweshe siku hiyo! Na nani na nani tuwacheleweshe kurudi nyumbani au warudi usubuhi kabisa!
Bado kwa zile Bata za kuzurura usiku lazima tuzikamatishe polisi zikalale selo na ikibidi mpk jela.
Kwa wale ambao valentine wao ni mabeki tatu wajihadhari sana maana tutawawezesha siku hiyo mimba hata ya kumgusa tu!.
Nawatakia Valentino njema muhimu muwe makini.
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Siku moja kutumia kwa raha utakayo ipata sio mbaya lakini kama tu bado bachela[emoji23] [emoji119]
Nitampa nafasi ya kompyuta mpakato..😊Siku hiyo housi gal utampka nafasi gani blaza
NakugawaNitampa nafasi ya kompyuta mpakato..😊
Ule uzi ulichafuka kimtindo kwa interest za watu binafsiYou’re missed too jirani yangu..
Umeona tunavyopendana eee..
Siku hizi kampan yangu mme kuwa adimu sana ..mnanifanya nakuwa mpweke[emoji3064][emoji3064][emoji3064]
Kosa langu hapo ni lipi..?Nakugawa
Basi tuanzishe uzi wetu.mimi wewe na kipenzi changu.imekaaje hiyoUle uzi ulichafuka kimtindo kwa interest za watu binafsi
Kuna njemba moja hapa job inataka kutoka na wewe, upo tayari ?Wakuu kama ilivyo hivi karibuni tr14-02 kutakuwa na valentine's day kwa watu wapendanao.
Je, wewe mdau wa JF utakua wapi na nani?
Pia unapenda kutoka na nani humu ndani?
Naomba helaToa hela wewe, ubahili tu hata kwenye vitu adhimu, kopa hata bank mwanaume ni risk taker
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Safi hiyo jiraniBasi tuanzishe uzi wetu.mimi wewe na kipenzi changu.imekaaje hiyo
Nafikiri hapo kwenye compyuta mpakato😅😅Kosa langu hapo ni lipi..?
Tukutane uwanjani tarehe 14 February tafuta kiwanja maridadi kati ya Zanzibar au Arusha nitakata tiketi kabisa naamini mecgi itakayochezwa itakua ya viwango sana ISO, TBSNaomba hela
Mimi babu yako. Hiyo njemba itakulipia kila kituNikajua nitoke na wewe.
Kumbe na wewe kavulana