Bata bukini dume anauzwa

Bata bukini dume anauzwa

bahati30

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2012
Posts
1,625
Reaction score
883
Bata bukini dume anauzwa Sh.150,000. Kwa atakayehitaji anitafute kwa namba hii hapa. 0753249862
 
Attachments

  • BUKINI.jpg
    BUKINI.jpg
    43.5 KB · Views: 507
mi nahitaji mayai ya bata bukin mzee una weza nisaidia kuyapataaa??
 
ok una vifaranga wa bata bukin tubadilishane mi nina bata mzinga
Mkuu hiyo ya kubadilishana nilikuwa naitamani sana coz mimi nilikuwa na bukini wawili lakini baadae nimegundua ni madume yote. Hivyo nilikuwa natafuta m2 wa kubadilishana nae ili achukue dume anipe jike coz bei zao zinalingana. Na pia bei niliyoitoa ni ya chini kwa sababu kuna wengine wanauza 200,000-300,000. Ni wakubwa kama Wanavyoonekana kwenye picha hapo juu. VIFARANGA SINA
 
ok una vifaranga wa bata bukin tubadilishane mi nina bata mzinga
Kiongozi kama wewe una majike wengi tubadilishane, na hii itakuwa pia ni njia nzuri ya wewe kubadilisha uzao ulio nao kwa kupata dume kutoka eneo jingine.
 
Kiongozi kama wewe una majike wengi tubadilishane, na hii itakuwa pia ni njia nzuri ya wewe kubadilisha uzao ulio nao kwa kupata dume kutoka eneo jingine.
sasa niki chukua bata bukini dume itakuaje bukin ata panda bata mzinga?
 
Hivi kuna tofauti ya bata bukini na bata kabali?

Au wote ni sawa?
 
Hv bukini nkimweka na bata Wa kawaida wanazaa kama kawaida au??
 
Mkuu hiyo ya kubadilishana nilikuwa naitamani sana coz mimi nilikuwa na bukini wawili lakini baadae nimegundua ni madume yote. Hivyo nilikuwa natafuta m2 wa kubadilishana nae ili achukue dume anipe jike coz bei zao zinalingana. Na pia bei niliyoitoa ni ya chini kwa sababu kuna wengine wanauza 200,000-300,000. Ni wakubwa kama Wanavyoonekana kwenye picha hapo juu. VIFARANGA SINA
mkuu nitafute nitabadilisha na wewe with some condition ,Hao bata wewe ni wale wakubwa na pili aiswe mzee
 
Ni hufanya hao bata wauzwe ghali hivyo?
ile theory ya demand and supply inaaply hapa ni wachache na huwa wanataga mara mbili kwa mwaka na ni mayai mawili 7-10 kwa mara moja ni kama mapambo flani hivi.
 
Duu mkuu bata anauzwa 300,000 ni bata gani uyu ..wengine atumjui em tupe maelekezo kidogo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom