Mkuu vipi bana, Amu anakusaidia.
Umenishtua sana, nikasema sasa Mzee mwenzangu inakuaje anaweka "Bastola" yake hadharani...kufungua nakuta kumbe ni hilo lichuma la Mdhungu, hio sio bastola bhana, bastola huwa haionyeshwi hadharanai bhana.....hahahahaaaa kazi kweli kweli ngoja niakswali mie leo Ijumaa
Mpwa bastola gani hiyo uliofikiria?
mmmmmmmmmmmmmmmh ukute hata kuikoki hujui.