J Jeho JF-Expert Member Joined Jul 2, 2011 Posts 5,069 Reaction score 5,556 Dec 4, 2011 #1 Kitabu pekee ninachoweza kukisoma siku nzima bila kuchoka.
Kongosho JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 35,987 Reaction score 24,233 Dec 4, 2011 #2 Mmmh. Haya
JS JF-Expert Member Joined Sep 29, 2009 Posts 2,064 Reaction score 506 Dec 4, 2011 #3 Kinahusu nini??
J Jeho JF-Expert Member Joined Jul 2, 2011 Posts 5,069 Reaction score 5,556 Dec 4, 2011 Thread starter #4 JS said: Kinahusu nini?? Click to expand... Kinaelezea mambo muhimu ya kufanya kabla hujatoweka duniani.
JS said: Kinahusu nini?? Click to expand... Kinaelezea mambo muhimu ya kufanya kabla hujatoweka duniani.
J Jeho JF-Expert Member Joined Jul 2, 2011 Posts 5,069 Reaction score 5,556 Dec 5, 2011 Thread starter #5 Kama unataka kujua kitabu hicho kinahusu nini, angalia heading then kila neno lililoko katika hiyo heading chukua herufi ya kwanza halafu ziunganishe. Mfano neno Basic chukua B. Nadhani utakuwa umeshakijua hicho kitabu.
Kama unataka kujua kitabu hicho kinahusu nini, angalia heading then kila neno lililoko katika hiyo heading chukua herufi ya kwanza halafu ziunganishe. Mfano neno Basic chukua B. Nadhani utakuwa umeshakijua hicho kitabu.