Basi zuri la kupanda Mwanza Arusha/Moshi

Basi zuri la kupanda Mwanza Arusha/Moshi

mattnard

Senior Member
Joined
Oct 14, 2012
Posts
106
Reaction score
32
Jamani next week nataka kusafiri toka Mwanza kwenda Arusha,naulizia basi zuri luxury pamoja na nauli zao,ikiwezekana nipate na number za Agent wao!saidieni wanajanvi
 
Jamani next week nataka kusafiri toka Mwanza kwenda Arusha,naulizia basi zuri luxury pamoja na nauli zao,ikiwezekana nipate na number za Agent wao!saidieni wanajanvi
Mgamba litakufaa,nenda nyegezi utawakuta maagent wa bus hilo watakusaidia
 
Hata isamilo ya arusha naona huwa ni nzuri sana unaweza kuiangalia pia
 
Mgamba aina ya BRIGEDIA,Asante Rabi,Isamilo,Royal...
 
Mghamba ya Moshi ndio nzuri, ya arusha ni yakawaida ila nauli ni moja, panda la kuelekea moshi ndio jipya
 
Sasa hivi Ars to Mza mabasi mazuri ni Asante Rabi na Kaprikoni Mghamba labda upate Inter trade na Brigedia mengine mabovu
 
Sasa hivi Ars to Mza mabasi mazuri ni Asante Rabi na Kaprikoni Mghamba labda upate Inter trade na Brigedia mengine mabovu
Ohhh Mghamba yenye chata hizo ndo mazuri vipi lenye speed ndogo ?
 
Back
Top Bottom