Basi zuri kwa Dar - Arusha

Iliisha isha hiyo ilikuwa mwa 2012 mpaka 2014 kama sikosei. wakati huo bado magari yana mbio
Mabasi ya watani zangu wapare yamekaa kibahili sana (wanalazimisha siti 63) tofauti na magari kama Tahmeed (abiria 37)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…