fagiobovu
Member
- Oct 29, 2016
- 13
- 10
electrical engineering hapo kwenye kipaumbele,kwa hiyo usilazimishe kupata mkopoMe nimemaliza form4 2011 nina vigezo vingine vya kupata mkopo ila sio yatima nimekosa ikanifanya nilifanyie utafiti
electrical engineering hapo kwenye kipaumbele,kwa hiyo usilazimishe kupata mkopoMe nimemaliza form4 2011 nina vigezo vingine vya kupata mkopo ila sio yatima nimekosa ikanifanya nilifanyie utafiti
Ipo katika vipaumbele... Tena kwenye point mbili 1- uandisi wa viwanda 2-usanifu wa majengo na miundo mbinuelectrical engineering hapo kwenye kipaumbele,kwa hiyo usilazimishe kupata mkopo
Kuna fursa gani tena mkuu ya Mathematics?kama unaijua mathematics njoo tupige kazi huku ...utatoka tu kibishi
Angalia alternative yake chini hapo. . Anaweza akawa kamaliza 2009 BT diploma level akawa kamaliza kati ya 2014_2016 kama wanavosemaView attachment 426487 Pitia hayo maneno juu ya 2.2.2.2 mkuu.
Nadhani hujasoma vizuri hicho kipengele nilichokiweka... hakina exeption hiko.Angalia alternative yake chini hapo. . Anaweza akawa kamaliza 2009 BT diploma level akawa kamaliza kati ya 2014_2016 kama wanavosema

Hapo chini after mwaka wa form four. . Kuna issue ya graduation ya diplomaNadhani hujasoma vizuri hicho kipengele nilichokiweka... hakina exeption hiko.
Si kwa hizo Kozi za Cluster I mkuu. Cluster I inasema unapata mkopo bila kujali muda uliohitimu Stashahada yako au kidato cha sita.Hapo chini after mwaka wa form four. . Kuna issue ya graduation ya diploma
Kama yupo SUA anaweza pangiwa batch za lala salama.......asee mie boom la mwaka wa kwanza ndiyo nimeingiziwa zote mwaka wa piliHata mdogo kaandikiwa hivyo na amepangiwa course wanazodai ni kipau mbele lakinj cha ajabu kwa SUA wametoa majina 1024, lakini tumejipiga piga tumrpata ada ya nusu mhula iki afanye usajiri lakini maisha ya chuo yamekuea magumu coz accomodation imekuwa taabu, sasa sijui atapewa mkopo batch ya pil tumuachie Mungu
Kama yupo course ya priority hapa SUA mkopo lazima hapate lakini anaweza pangiwa batch za lala salamaHata mdogo kaandikiwa hivyo na amepangiwa course wanazodai ni kipau mbele lakinj cha ajabu kwa SUA wametoa majina 1024, lakini tumejipiga piga tumrpata ada ya nusu mhula iki afanye usajiri lakini maisha ya chuo yamekuea magumu coz accomodation imekuwa taabu, sasa sijui atapewa mkopo batch ya pil tumuachie Mungu
Main campus onlyKaka hyo saut campus zotee kweli
Haina noumaMtaisoma namba