Basi sina ujanja tena

Basi sina ujanja tena

Junior Lecturer

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2013
Posts
913
Reaction score
584
The student with Index number 'S1359.0057.2009' was not allocated a higher education loan for AY 2016/17 in the first Batch

FINAL LIST IMESHATOLEWA MAJINA 600 TU KWA SAUT.


RAIS JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI.
NITUMAINI LA WANYONGE, LAKINI SI TUMAINI LA MASKINI.
 
kama unaijua mathematics njoo tupige kazi huku ...utatoka tu kibishi
 
Hata mdogo kaandikiwa hivyo na amepangiwa course wanazodai ni kipau mbele lakinj cha ajabu kwa SUA wametoa majina 1024, lakini tumejipiga piga tumrpata ada ya nusu mhula iki afanye usajiri lakini maisha ya chuo yamekuea magumu coz accomodation imekuwa taabu, sasa sijui atapewa mkopo batch ya pil tumuachie Mungu
 
The student with Index number 'S1359.0057.2009' was not allocated a higher education loan for AY 2016/17 in the first Batch

FINAL LIST IMESHATOLEWA MAJINA 600 TU KWA SAUT.


RAIS JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI.
NITUMAINI LA WANYONGE, LAKINI SI TUMAINI LA MASKINI.
lakini tukiangalia huna sifa ya kupewa mkopo,mwaka uliomaliza form 4 umekutoa kwenye sifa! usilalamike sana!
 
Me nimemaliza form4 2011 nina vigezo vingine vya kupata mkopo ila sio yatima nimekosa ikanifanya nilifanyie utafiti
 
kasome upya guidelines za bodi uone,ukikuta mtu kapewa mkopo miaka ya nyuma kwanza unaweza ukakuta ni 5 kati ya 5000,then unaweza ukakuta ni yatima,au disabled(vilema).
Screenshot_2016-10-28-19-42-52.png
Pitia hayo maneno juu ya 2.2.2.2 mkuu.
 
Back
Top Bottom