Kuna wadau wako eneo la tukio wanasema basi la kampuni ya Zakaria lilikuwa linatokea Mwanza kwenda MUsoma limechinja na kuua watu na majeruhi kibao baada ya kugongana na mchomoko (Noah).
alishindwa na John Heche wa ChademaMmiliki wa mabasi ya Zakaria amewashika polisi wote kanda yaziwa. Huyu ni tajiri Chacha Zakaria, mwaka 2005 aligombea udiwani akapigwa chini na kijana mdogo toka chuo cha SAUT.