Basi la Upendo Xpress, punguzeni mwendo huo

Basi la Upendo Xpress, punguzeni mwendo huo

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2011
Posts
4,873
Reaction score
1,220
NImetaharifiwa hapa basi la upendo xpress lilitoka leo Mbeya kwenda Dodoma,linakwenda mwendokasi sana.

Nimedokezwa basi hilo limetoka mbeya Saa 12 asubuh mpk muda huu limeshafika iringa.

Tunaomba mpunguze huo mwendo tuna ndugu zetu humo.
 
hii saa tano ni muda wa kawaida acheni ujinga pandeni punda kama mnataka kufika sio magari
 
Mpigie Kamanda wa Iringa hawa madereva hawamo humu,kwanza hawapendi kusoma! Sana sana watwangie
 
Huyo aliyekutaarifu je ameshatoa taarifa kwa vyombo vinavyohusika?
 
Mbeya - Iringa kuna km 330. Mwendokasi unaoruhusiwa ni km80 kwa saa. Kwa hiyo km80 x saa4=320. Weka na dharura za hapa na pale. Kwa saa tano hii huo muda aliotumia ni sawa kabisa.
 
Kama huna huruma na watu wanaopoteza maisha kwa ajari hizi kaa kimya tu,

wewe hiyo njia huijui kaa kimya ajali ni ajali hata kama unaendesha taratibu akitokea anayeendesha spidi kali akagugonga nayo ni ajali
 
tena huyo dereva mzembe sana ilibidi apite hapo saa 4. kama unanisikia ongeza spidi unawachelewesha abiria
 
Moto chini.

Bus Lorry Kitonga Road.jpg
 
NImetaharifiwa hapa basi la upendo xpress lilitoka leo Mbeya kwenda Dodoma,linakwenda mwendokasi sana.

Nimedokezwa basi hilo limetoka mbeya Saa 12 asubuh mpk muda huu limeshafika iringa.

Tunaomba mpunguze huo mwendo tuna ndugu zetu humo.

Mwambie aombe chati ya sumatra kwa konda acheki na time table aone....yawezekana amezoea baiskel huyo...alafu kwanini hakuripoti kwa trafic officer pale Iringa? Anyway amwambie aripoti kwa trafiki wa mzani mikimi
 
Abiria wapge simu Sumatra si pana # za simu ndani ya bus
 
Mbeya—Iringa ni masaa 4 kwa mwendo wa kawaida wa bus kama saa tano ndio wako Iringa nadhani dereva anatembea kawaida.
 
Jana nimepanda kitu cha Mbeya- Arusha (Hood). Tokea nianze kusafiri sijaona basi inakimbia namna ile. Ruaha Mbuyuni mpaka moro 2hrs pomoja na bumps zote za mikumi?
 
Back
Top Bottom