macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 24,376
- 46,795
Waganda wamekuja na basi linalotumia nguvu za ''umeme wa jua'' (solar) kusafiri. Linatumia dakika sitini kuweza kujaa chaji na likisha jaa lina uwezo wa kutembea maili 50 bila kuchajiwa tena. Vilevile kuna battery ya ziada ya kuchaji kwa umeme wa kawaida kwa ajili ya safari za usiku na za zaidi ya maili 50 ambazo solar haiwezi kutosheleza huo umbali.
Habari zaidi Uganda unveils Africa's first solar-powered bus - CNN.com