Basi la SUMRY lachinja tena, KASULU

asee pole sana na wafiwa wooote poleni
r.i.p marehemu wote
majeruhi pia poleni saaana
halaf hizi bus ni zile fuso nini
?lool
 
sumry hii sasa too much!!!! kama kuna waliopoteza maisha RIP!! majeruhi Mungu awape ahueni haraka!!!!!
 
Pole kwa wafiwa na majeruhi wapone haraka
 
Eti inasemekana ni mradi huo kuua watu, unaua moja unapata mbili kwa kutumia uelewa mfinyu wa waathirika, nani anaushahidi wa mradi huu?

Aluta Continua!
 
Hudi siyo kivile kama Summry na Mohamed trans hawa ni vinara wa ajari...
 
Pole sana ndugu...
 
jamani trafic,kunakitu ambacho hakiendi sawa kwenye sumry bus, tafadhali fuatilieni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…