Basi la Sabena Tabora-Mbeya lachinja 16 papo hapo. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Basi la Sabena Tabora-Mbeya lachinja 16 papo hapo.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Jaguar, Aug 8, 2012.

 1. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #1
  Aug 8, 2012
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Watu 16 wamefariki katika ajali ya basi la sabena kutoka tabora-mbeya.Dereva wa gari ni nassor ally,chanzo cha ajali ni hitilafu kwenye usukani.Ajali imetokea eneo la kitunda wilayani sikonge.SOURCE:TBC JAMBO.
   
 2. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #2
  Aug 8, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,334
  Likes Received: 22,186
  Trophy Points: 280
  Ajali imetokea wapi? Mungu aendelee kutunusuru
   
 3. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #3
  Aug 8, 2012
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,584
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Mungu awaweke pema peponi marehemu, na awape moyo wa subira wafiwa!
   
 4. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #4
  Aug 8, 2012
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,923
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  This is frustrating bad news for a day!! RIPs wote
   
 5. kinyoba

  kinyoba JF-Expert Member

  #5
  Aug 8, 2012
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 1,238
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  RIP. Pole kwa wafiwa.
   
 6. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #6
  Aug 8, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Dah, tuwe tunasoma vizuri post kabla ya ku comment.
   
 7. Kijakazi

  Kijakazi JF-Expert Member

  #7
  Aug 8, 2012
  Joined: Jun 26, 2007
  Messages: 3,546
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 135
  Mimi napenda kujua kama BABA yako angekuwemo ndani ya basi bado ungetumia lugha kama hiyo, "basi lachinja"
   
 8. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #8
  Aug 8, 2012
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Sorry,lakini mimi sikuwa na maana mbaya kama unavyofikiri wewe,kama mwingine angesema,"16 butchered in a terrific bus accident".
   
 9. Osaka

  Osaka JF-Expert Member

  #9
  Aug 8, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 1,766
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Too sad!
   
 10. kapolo

  kapolo JF-Expert Member

  #10
  Aug 8, 2012
  Joined: Feb 2, 2012
  Messages: 284
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Pole kwa watanzania wenzetu waliokumbwa na mkasa huo..Mwenyezi Mungu awape nguvu wafiwa
   
 11. Wamunzengo

  Wamunzengo JF-Expert Member

  #11
  Aug 8, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 810
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 60
  poleni sana jamani wote mnaohusika na hii ajari mbaya. tupo pamoja kwenye huu wakati mgumu wa majonzi.
   
 12. C

  Chipolopolo JF-Expert Member

  #12
  Aug 8, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 882
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Poleni sana wafiwa.Mungu watie nguvu
   
 13. mchumia tumbo

  mchumia tumbo JF-Expert Member

  #13
  Aug 8, 2012
  Joined: Jun 19, 2012
  Messages: 1,367
  Likes Received: 186
  Trophy Points: 160
  Lilikuwa na majeruhi 78,kuna mtu amehojiwa amesema lilikuwa na abiria 110.
  Souce taarifa ya habari TBC1.20.00,8/8/2012
   
 14. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #14
  Aug 8, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  MUNGU WETU! Tunakulilia MUNGU usitusahau sisi tu wako tu!

  Marehemu wote walale kwa AMANI yake Bwana!
   
 15. Osaka

  Osaka JF-Expert Member

  #15
  Aug 8, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 1,766
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Abiria 110! Sasa huyu Mzee SABENA (Hemed) inabidi awe serious na wafanyakazi wake!
   
 16. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #16
  Aug 8, 2012
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Hiyo sasa ni meli,na ndo maana limeua watu wengi sana.
   
 17. Duzente Siqwente

  Duzente Siqwente JF-Expert Member

  #17
  Aug 8, 2012
  Joined: Aug 6, 2012
  Messages: 265
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  tawaombee marehem wote wapumzike kwa amani
   
 18. t

  timbilimu JF-Expert Member

  #18
  Aug 9, 2012
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 4,780
  Likes Received: 151
  Trophy Points: 160
  110! Uzembe kuanzia mmiliki wa basi,wafanyakazi,abiria na mamlaka husika za serikali.
   
 19. Jodoki Kalimilo

  Jodoki Kalimilo JF-Expert Member

  #19
  Aug 9, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 8,637
  Likes Received: 2,063
  Trophy Points: 280
  Wilaya ya Sikonge, Tabora
   
 20. Jodoki Kalimilo

  Jodoki Kalimilo JF-Expert Member

  #20
  Aug 9, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 8,637
  Likes Received: 2,063
  Trophy Points: 280
  Huwa wanasoma heading na mie nilimjibu kumsaidia labda comment atasoma si unajua tena Watz wengi hawapendi kusoma maandiko na ndio maana hata sheria ya fao la kujitoa wabunge wetu hawakuiona baada ya kupachikwa kiaina kwenye jedwali
   
Loading...