Basi la Sabena Tabora-Mbeya lachinja 16 papo hapo.

Hizi ajali sasa zimekuwa kama mazoea. Inatakiwa sasa kama wasimamia sheria hawatekelezi wajibu wao basi wawajibishwe bila kuangaliana usoni. Ikibidi waziri muhusika aachie ngazi. Poleni wafiwa na majeruhi
 
Huyu mmiliki waSabena achukuliwe hatua kali,haiwezekani basi libebe watu 110 hata kama uroho wa hela hii ni too much!
 
Back
Top Bottom