Basi la Princess Muro laungua maeneo ya Bahi Dodoma

Basi la Princess Muro laungua maeneo ya Bahi Dodoma

Muk

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2012
Posts
547
Reaction score
70
Habari wanaJF,

Leo mida ya saa kumi jioni basi la Princess Muro limeungua eneo la Bahi mkoani Dodoma ila hakuna mtu aliyepoteza uhai.
 
Hii si mara ya kwanza kwa kampuni hii!

Ewe abiria kusoma usijue, hata kutazama picha!

https://www.jamiiforums.com/habari-na-hoja-mchanganyiko/236160-prince-muro-lapata-ajali.html
attachment.php
attachment.php


https://www.jamiiforums.com/habari-...rincess-muro-lapinduka-na-kuua-usiku-huu.html
https://www.jamiiforums.com/habari-na-hoja-mchanganyiko/211897-ajali-ya-basi-la-prince-muro.html
https://www.jamiiforums.com/habari-...uro-latekwa-abiria-wavuliwa-nguo-waporwa.html

https://www.jamiiforums.com/jamii-photos/484378-ajali-barabarani-muro-yanusurika.html
attachment.php
 
Hizo hapo picha
 

Attachments

  • 1402112813154.jpg
    1402112813154.jpg
    53 KB · Views: 341
  • 1402112836824.jpg
    1402112836824.jpg
    43.5 KB · Views: 312
mkuu limeteketea kabisa ndo maana picha hakuna!


Ingeteketea camera tungekuelewa kuwa huna cha kupigia picha, kama bus limeteketea na camera ipo, piga picha majivu ya bus kama ushahidi wa ulisemalo
 
Ingeteketea camera tungekuelewa kuwa huna cha kupigia picha, kama bus limeteketea na camera ipo, piga picha majivu ya bus kama ushahidi wa ulisemalo

Hizo hapo
 

kweli kabisa Mkuu...niliwahi kushuhudia basi la kampuni hii likiungua Morogoro mbele kidogo ya msamvu...najiuliza sana kulikoni na kampuni hii?Mwanzo ilikuja vizuri lkn mauzauza kibao,ilikuwa usafiri wangu huu DAR-TDM mara ya mwisho nikaingia Dar saa 7 usiku mpk nikazua mzozo na wife eti nilichepuka.Tokea hapo mm na hawa NOOOOOO...
 
Huyu mwenye haya mabasi vipi mbona kila siku ajali lakini hakuna anaepoteza maisha! nahofia ipo siku itachinja wote! kama ile iliyochinja wote kitonga! mwenye basi akajenga msikiti hapohapo sikumbuki jina la basi hilo...
 
Bora kurudia enzi za kusafiri na punda...ukizidiwa na njaa unamchinja then unaendelea kwa mguu
 
Back
Top Bottom