Fanya kazi yako mkuu, ANGALIA/JALI MASLAHI YAKO! Siku zote PENYE RIZIKI,,,! Hakuna kazi hususan kazi ya WITO kama yako isiyokuwa na CHANGAMOTO! Wachungaji wenyewe kilasiku wanapakaziwa kutembea na waumini wao ambao ni wake za watu! Sembuse ww mkuu! PIGA KAZI naamin THAWABU zako zipo kama sio humuhumu JF basi KWENYE BASI UTALOPATA NALO AJALI! Watakufa wote ISIPOKUWA WEWE utupe Taarifa na Picha! SALUTE SANA MKUU!
mwisho wa haya mazingaombwe ni baada ya uchaguzi- October 2015
We naye,!! kwani wapi amesema kuwa kila ajali lazima iue?? asingesema kuwa hakuna aliyekufa watu mngeanza kumuuliza vifo ni vingapi? hii habari imekamilika kabisa na inaonekana ana uhakika na alichoandika, sio wale mtu anapata habari nusu nusu tu, anakimbia ku post, ili awe wa kwanza, naye ana kwambia mwenye habari kamili atueleze!! EBOOO!!!! We ndio mleta habari tena unasema mwenye habari kamili atueleze?!! Labda uelewa wako ndio shida.
huko kwenye head zimetimia kweli?
mwisho wa haya mazingaombwe ni baada ya uchaguzi- October 2015
Hii pia imetokea leo maene ya soni kuelekra lushuto. Nusura basi la kampuni ya burudani litumbukizwe kolongoni na lorry la mafuta ambalo lilipoteza breki.
May be uchaguzi