Since u left, everyday NYAMA tu cherry wanje! Tatizo ni za binadamu wenzetu! Aah! Tumelia wee mpaka machoz yametukauka sasa! Something should be done now, hakuna kulia tena! Ok, tusaidiane, what should we do?
Good decomm,wimbi la ajali sasa naona limekuwa sio geni machoni kwetu. Najitahidi sana kuripoti habari za ajali lakini naona kuna watu hawapendi mpaka wameanza kuniita majina ya ajabu ajabu kitu ambacho sipendi.
We naye,!! kwani wapi amesema kuwa kila ajali lazima iue?? asingesema kuwa hakuna aliyekufa watu mngeanza kumuuliza vifo ni vingapi? hii habari imekamilika kabisa na inaonekana ana uhakika na alichoandika, sio wale mtu anapata habari nusu nusu tu, anakimbia ku post, ili awe wa kwanza, naye ana kwambia mwenye habari kamili atueleze!! EBOOO!!!! We ndio mleta habari tena unasema mwenye habari kamili atueleze?!! Labda uelewa wako ndio shida.
Good decomm,wimbi la ajali sasa naona limekuwa sio geni machoni kwetu. Najitahidi sana kuripoti habari za ajali lakini naona kuna watu hawapendi mpaka wameanza kuniita majina ya ajabu ajabu kitu ambacho sipendi.
since u left, everyday nyama tu cherry wanje! Tatizo ni za binadamu wenzetu! Aah! Tumelia wee mpaka machoz yametukauka sasa! Something should be done now, hakuna kulia tena! Ok, tusaidiane, what should we do?
Good decomm,wimbi la ajali sasa naona limekuwa sio geni machoni kwetu. Najitahidi sana kuripoti habari za ajali lakini naona kuna watu hawapendi mpaka wameanza kuniita majina ya ajabu ajabu kitu ambacho sipendi.
Fanya kazi yako mkuu, ANGALIA/JALI MASLAHI YAKO! Siku zote PENYE RIZIKI,,,! Hakuna kazi hususan kazi ya WITO kama yako isiyokuwa na CHANGAMOTO! Wachungaji wenyewe kilasiku wanapakaziwa kutembea na waumini wao ambao ni wake za watu! Sembuse ww mkuu! PIGA KAZI naamin THAWABU zako zipo kama sio humuhumu JF basi KWENYE BASI UTALOPATA NALO AJALI! Watakufa wote ISIPOKUWA WEWE utupe Taarifa na Picha! SALUTE SANA MKUU!