Basi la Princes Munaa lapata ajali Dodoma

decomm

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Posts
726
Reaction score
666
Hivi punde, kumetokea ajali ya Basi la Princes munaa lililokuwa linatoka Dar es Salaam kwenda Mwanza, katika kijiji cha Mtanana Kibaigwa Wilaya ya Kongwa Mkoa wa Dodoma.

Halijaua lakini kuna Majeruhi.



 

Attachments

  • ajali1.JPG
    40.1 KB · Views: 17,604
  • ajali2.JPG
    26.5 KB · Views: 22,178
Kikubwa ni kuswali kabla ya kusaliwa Mungu atutangulie
 
Tumeshazizoea ajali za magari....sasa tunataka kusikia ajali za ndege tu.....
na hata moyo wako umeshazoea kuona watanzania wenzio wakipoteza maisha, mali na wengine kubaki na vilema vya maisha?!!
 
Mi ntaanza kupanda mikokoteni labda itasaidia ajali kila siku ukiamka ajali ukilala ajali huwezi kuniambia uzembe wa madereva,labda uzembe wa binadamu wa kutokuwa karibu na Mungu ndo maana shetani anasimama ushirikina umeshamiri na kutoana kafara tu hakuna kingine.
 
Hiii sifa sasa au ndo kutaka kulazimisha madereva wakasome hela zipatikane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…