Basi la Mwanza - Dar

Vyema muda gani linafika?

Mimi nimetoka mwanza siku ya jumamosi juzi na super nsjimunisa tulifika kibaha saa 3 usiku, ujue kuanzia kibaha kwenda dar inategemea na foreni mkuu!!
 
Wadau npo Mwanza na wiki ijayo nategemea kwenda Dar,sasa basi gani ni zuri kwa kusafiria ambapo bei zake ni nzuri na pia speed ni ya uhakika na hawasimami hovyo njiani.Nipeni mawazo yenu wadau....

Basi zuri. unaposema bei nzuri unamaanisha nini. Kama ni nauli cheap sahau kuhusu basi zuri.
 
Wadau npo Mwanza na wiki ijayo nategemea kwenda Dar,sasa basi gani ni zuri kwa kusafiria ambapo bei zake ni nzuri na pia speed ni ya uhakika na hawasimami hovyo njiani.Nipeni mawazo yenu wadau....
Igembensabo ndo mpango mzima
 
Mimi nimetoka mwanza siku ya jumamosi juzi na super nsjimunisa tulifika kibaha saa 3 usiku, ujue kuanzia kibaha kwenda dar inategemea na foreni mkuu!!

Foreni ndo chakula gani hicho?
 
mkuu nina uzoefu na hayo mabasi......ukitaka kufika haraka panda mabasi yafuatayo super sami zingzong ,musoma bus hili huwa linakimbia sana, isamilo luxury hili lina power cable kila siti kama una smartphone hapa utaenjoy full charge mpaka unafika,zubery luxury 2 by 2 nauli yao 40,000 hayo mengine kuanzia 55,000 hadi 45000.....kuna haya yafuatayo hua yana siku zake kama yasipopata hitilafu njiani hayo ya juu ni cha mtoto kuna kuna princess muro T954AGW hila basi hua ni la kwanza kama kusipotokea tatizo njiani na mpaka nimeshika namba niliambiwa na mdau mmoja na ndio basi la muro wanalotegemea, happy nation hii kitu hua inakimbia lakini halina guarantee ipo siku litafika la kwanza cku nyingine utalala dodoma.......yale ya juu ya kwanza ni mabasi ya uhakika
 
Kama una pesa kdogo bora tu upande ndege ya fastjet.
Nauli zao 112,200 tarehe 9 mpaka 12 mwezi ujao.
Jaribu hvyo ndugu yangu kwa kukata ticketi mapema.
 
Kama una pesa kdogo bora tu upande ndege ya fastjet.
Nauli zao 112,200 tarehe 9 mpaka 12 mwezi ujao.
Jaribu hvyo ndugu yangu kwa kukata ticketi mapema.
 
Mkuu gari la uhakika ni zuberi tena yutong utaenjoy zaidi,ila ukichukia GReen star umekwisha
 
Mimi nimetoka mwanza siku ya jumamosi juzi na super nsjimunisa tulifika kibaha saa 3 usiku, ujue kuanzia kibaha kwenda dar inategemea na foreni mkuu!!

Foleni sio foreni
 
Panda happy nation 710

Makonda wao wahuni wote. Wamehama mabasi ya Allys yalipoanza kuchoka.

Zuberi hutajuta.

Hawana mpiga debe.

Mdada wa reception anahudumia vizuri.

Ukipata dharura, unaweza kusogezewa safare yako tarehe ya mbele!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…