Basi la Machame lanusurika kupinduka

Basi la Machame lanusurika kupinduka

zamlock

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2010
Posts
3,840
Reaction score
660
Tulikuwa tukitokea Arusha tulipofika maeneo ya mto Ruvu mvua ilianza kunyesha kubwa na dereva akiwa speed ghafla ikatokea basi la Muro likiwa liko upande wetu.Tukataka kugongana uso kwa uso na kilichofanyika dereva alilikwepa kwa kutoa Gari nje kwa upande wa kushoto.

Baada ya Muro kupita dereva wa Machame akarudisha basi upande wa kulia ndipo ilipomshinda na kuitoa nje na kujikita kwenye kimuinuko na kuharibika show ya mbele yote ila mwendo kasi kwa basi letu ndiyo chanzo.
 
Polen sana.Hayo mabasi ya kichina yakigonga hata paka njiani yanaharibu show yake
 
Tulikuwa tukitokea Arusha tulipofika maeneo ya mto Ruvu mvua ilianza kunyesha kubwa na dereva akiwa speed ghafla ikatokea basi la Muro likiwa liko upande wetu.Tukataka kugongana uso kwa uso na kilichofanyika dereva alilikwepa kwa kutoa Gari nje kwa upande wa kushoto.

Baada ya Muro kupita dereva wa Machame akarudisha basi upande wa kulia ndipo ilipomshinda na kuitoa nje na kujikita kwenye kimuinuko na kuharibika show ya mbele yote ila mwendo kasi kwa basi letu ndiyo chanzo.

Una uhakika lilikuwa Basi la Muro? Maana hadi mtoke Arusha na mfike Ruvu mabasi yote ya Muro yanakuwa yamepita Ruvu kwa sababu yote yanaenda safari za mbali na hivyo huondoka asubuhi ya saa 12 kamili Ubungo. Anyway labda kama lilikuwa linaenda kufaulisha gari nyingine iliyoondoka asubuhi Ubungo..
 
Mura chacha kana niyekhi ukumburya iruswali keriyo? Ngutebhiri ni ibhasi hiyo.
 
Tulikuwa tukitokea Arusha tulipofika maeneo ya mto Ruvu mvua ilianza kunyesha kubwa na dereva akiwa speed ghafla ikatokea basi la Muro likiwa liko upande wetu.Tukataka kugongana uso kwa uso na kilichofanyika dereva alilikwepa kwa kutoa Gari nje kwa upande wa kushoto.

Baada ya Muro kupita dereva wa Machame akarudisha basi upande wa kulia ndipo ilipomshinda na kuitoa nje na kujikita kwenye kimuinuko na kuharibika show ya mbele yote ila mwendo kasi kwa basi letu ndiyo chanzo.

Mkuu ulikuwa ukiponda kampuni hii kumbe bado unatumia Huduma zao.
 
wakati anaendesha kasi nyie mlikuwa mnachekelea ila baada ya kuwashinda mnaleta lawama huku
 
Mkuu ulikuwa ukiponda kampuni hii kumbe bado unatumia Huduma zao.

Kulikuwa akuna namna baada ya kufika stand na kukuta magari ambayo ningeweza panda yameondoka na niliuliza swala la mwendo kasi wakasema wamepokea maoni mengi na wamejirekebisha basi nikaingiwa na imani basi nikapanda.
 
Back
Top Bottom