Madhara ya kusimamisha gari gjafla hayo.. Kuna Trafic yuko Morogor kwa Makunganya huwa anatokea kwenye katani kama kizuka ghafla anasimamisha basi zikiongozana..
Huwa anatisha sana watu huyu
hata ukisamamishwa na polisi angalia kwenye driving mirror yako gari inayokufuata je ipo the same speed na je ni salama si kwa sababu umesimamishwa lazima usimame .. wakikumata mbele unawaambia haikuwa salama pale .. usalama kwanza tuache woga
Nashukuru kwa maelezo hayo nakumbuka nilishafanya hivyo pale kabuku nilisimama like 700m toka aloposimama traffic nikamueleza same to your words above hakuwa na lakusema
Nashukuru kwa maelezo hayo nakumbuka nilishafanya hivyo pale kabuku nilisimama like 700m toka aloposimama traffic nikamueleza same to your words above hakuwa na lakusema
Chanzo cha ajali ndicho kimenivutia ktk habari husika. Polisi wa usalama kasimamisha gari dogo then mwenye basi kaligonga kwa nyuma. Trafiki wanatabia ya kusimamisha magari sehemu ambazo sio salama na hamna parking...