Basi la kampuni ya Dar Lux lapata ajali

Hii ni basi iliyogongwA nyuma na dar lux
 

Attachments

  • FB_IMG_1484135560805.jpeg
    24.4 KB · Views: 82
Pole kwa wasafiri wote kwa mashituko wa hiyo ajali, ki ukweli naungana na baadhi ya wasemaji wengine kuwa kuna baadhi ya polisi wa usalama husimamisha magari kwa lengo zuri la kuhakikisha usalama tatizo huwa hawatathimini je hapo wanapoyasimamisha pana nafasi ya kutosha kuruhusu magari mengine kupita, hili suala liangaliwe kwa kweli.
 
Kuna mawili,kwanza dereva wa gari ndogo alifunga breki ghafla,Na inawezekana askari alijitokeza kwa ghafla barabarani maana huwa wanajificha siku hizi kwenye kichaka na tochi yao,Dereva Wa gari dogo angemuona askari mapema asingekua na sababu ya kusimama ghafla...

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
 
Chanzo cha ajali ndicho kimenivutia ktk habari husika. Polisi wa usalama kasimamisha gari dogo then mwenye basi kaligonga kwa nyuma. Trafiki wanatabia ya kusimamisha magari sehemu ambazo sio salama na hamna parking...
Kama wewe ni dereva itabidi unyang'anywe leseni kwani hujui sheria za barabarani. Ukigonga gari nyuma kosa ni la mgongaji hata kama trafiki ndiye kasimamisha gari ya mbele. Je, kama jamaa alisimama ghafla ili asigonge mtu au ngombe bado ungesema ni kosa lake? NI lazima mtu wa nyuma kuwa umbali ambao ataweza kusimama in case wa mbele atasimama ghafla. Lakini mabasi ya mikoani utaona yanafuatana utafikiri yanasukumana. Huo ni ujinga.
 
hata ukisamamishwa na polisi angalia kwenye driving mirror yako gari inayokufuata je ipo the same speed na je ni salama si kwa sababu umesimamishwa lazima usimame .. wakikumata mbele unawaambia haikuwa salama pale .. usalama kwanza tuache woga
 
wengi hatufuati hii ya kuacha nafasi ya gari moja mwendo wa bampa to bampa ..
 
Kwanini tusiwe na Sheria ambayo itawabana wananchi wanaoacha kutumia kivuko cha (zebra) kwamba wanahatarisha maisha yao kwa kuvukia maeneo yasiyotengwa kwa ajili hiyo mfano kuna daraja la kuvukia ubungo, manzese na buguruni, sote mashahidi kwa jinsi inavyopelekea usumbufu kwa madereva. Ni wazo sijui wadau mnasemaje
 
Poleni sana,trafiki unakuta wanasimamisha magari sehemu mbaya
 
dist yagari NA garii awena adabu
 
Hoja yako haifuti uzembe wa trafiki wanaosimamisha magari mahali pabaya au wanaojificha kisha kusimamisha magari ghafla.
 
Saizi mi wakinisimamisha sehemu za hovyohovyo sisimami
Kabla ya kutokusimama zingatia haya
  • Askari wana landcruser pembeni?
  • Wameshika bunduki?
  • Gari yako ina mafuta ya kutosha?
  • Unatumia baby walker?
 
Hii habari ni fupi lakini imeeleza vizuri chanzo cha ajali tena umetuwekea na picha, asante sana mkuu johnlowasa.
Msioelewa mnaona jinsi trafiki wanavyochangia matatizo barabarani! Huu ni mfano mmoja mbali mingine ya kuwa frustrate madereva njia nzima, yaani dereva akiwaona anapaniki badala ya kuwa na amani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…