Basi la kampuni ya Dar Lux lapata ajali

Basi la kampuni ya Dar Lux lapata ajali

johnlowasa

Senior Member
Joined
Sep 29, 2016
Posts
121
Reaction score
76
Basi hilo linalofanya safar zake Dar-Mbeya limepata ajali maeneo ya chalinze kwa kugonga gari ndogo kwa nyuma ambapo gari ndogo haipo pichani ilisimamishwa na trafiki ndipo basi likamgonga kwa nyuma abiria baadhi wamepata michubuko na hakuna aliyepoteza maisha abiria wanasuburi basi lingine ili waweze endelea na safari
09597bafaa2f4253f4e5fdbbacc3a4b1.jpg
1f98220533fcfed856c1030bc62a46b9.jpg
5a7302a25d9cde5c46a9d237cce1d859.jpg
 
Poleni wapendwa
 
Chanzo cha ajali ndicho kimenivutia ktk habari husika. Polisi wa usalama kasimamisha gari dogo then mwenye basi kaligonga kwa nyuma. Trafiki wanatabia ya kusimamisha magari sehemu ambazo sio salama na hamna parking...
 
Polen xan aise half kuna jamaa yangu yupo humo bt nashukuru mungu yuko salama na anaendelea na safar yak salama
 
Chanzo cha ajali ndicho kimenivutia ktk habari husika. Polisi wa usalama kasimamisha gari dogo then mwenye basi kaligonga kwa nyuma. Trafiki wanatabia ya kusimamisha magari sehemu ambazo sio salama na hamna parking...
Kumbeeeeer
 
Hawa matrafiki sometimes hovyo sana wanasimamishaga magari hata sehemu hatarishi...yaani hadi mtu wa kawaida unawashangaa..sijui hawapewi kozi
 
Saizi mi wakinisimamisha sehemu za hovyohovyo sisimami
 
Hawa matrafiki sometimes hovyo sana wanasimamishaga magari hata sehemu hatarishi...yaani hadi mtu wa kawaida unawashangaa..sijui hawapewi kozi
sasa hivi wanaangalia jinsi gani ya ku-maintain rekodi ya mapato kuliko usalama wa watu.Rekodi za ajali na vifo viko juu kuliko walipoanza huu utaratibu wa faini
 
Dar Lux imeigonga basi nyingine inaitwa polepole na si gari ndogo
 
Hivyo vioo ni vyamabox gari dogo kioo cha basi maalama yote hayo au dreva alitaka atokee mbele ingegongana na scania sijui ingekuwaje
 
Back
Top Bottom