Basi la Isamilo Express lapata ajali Kwimba

poleni sana wafiwa, mjazwe na ujasiri wa kukabili msiba huo. isamilo express na prince isamilo haya mabasi mmiliki wake ni nani hivi?
 
Wamiliki wa mabasi muwe makini na madereva munao waajiri. Poleni sana wafiwa wote.
 

Kama 2 weeks ago nilikuwa natoka dar kwenda mwanza kwa basi la isamilo express, really the driver was very very rough. Anaovateki ovyo ovyo bila hata kujali ni kona, akishakutana na gari mbele linakuja ndo utaskia mabreki ya ghafla. Yan ile kitendo cha kufika salama nilimshukuru sana Mungu kwa neema hiyo.
We really need God, huku tukimkabidhi hata dreva mkononi mwake kipindi chote cha safari.
Mungu awatie nguvu wafiwa wote ktk kipindi hiki kigumu.
 
Habari nilizozipata punde nikuwa basi la abiria toka Moshi kwenda Mwanza jioni hii limepata ajali baada ya tairi la mbele kupasuka. Habari zaidi zitafuata.

source:RFA.

na lingine limepata ajali jana mkoani singida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…