Basi la Isamilo Express lapata ajali Kwimba

Bornvilla

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2011
Posts
924
Reaction score
272
Habari nilizozipata punde nikuwa basi la abiria toka Moshi kwenda Mwanza jioni hii limepata ajali baada ya tairi la mbele kupasuka. Habari zaidi zitafuata.

source:RFA.
 
Duh hizi ajali Mungu aepushie

Nna safari siku si nyingi nikiwaza hizi ajali natamani kuahirisha
 
Kama ni sasa... litakuwa lishaingia mwanza...... kuna madhara yoyote...?
 
Habari ni za kweli ni eneo la Ungumarwa karibu na Misungwi kuna staff wenzetu wanne walikuwa kwenye basi hilo wanatoka semina Moshi wawili kati yao wamethibitika kufariki ndio tupo kikaoni tunaomboleza lakini hatuna taarifa kamili kama kuna vifo zaidi au laa, ntawajuza waliokwenda hospitali misungwi watakaporudi.
 
Poleni sana, ni basi la Isamilo toka moshi
 
Habari ni za kweli ni eneo la Ungumarwa karibu na Misungwi kuna staff wenzetu wanne walikuwa kwenye basi hilo wanatoka semina Moshi wawili kati yao wamethibitika kufariki ndio tupo kikaoni tunaomboleza lakini hatuna taarifa kamili kama kuna vifo zaidi au laa, ntawajuza waliokwenda hospitali misungwi watakaporudi.

Duh!poleni kwa musiba huo mkubwa!
 
Shukrani wadau ni vigumu kuamini watulioongea asubihi tu kuwa mtaonana jioni alafu wamepoteza maisha umbali wa kilomita chache sana kabla ya kufika.

Chakujifunza ni kuishi kwa kumtegemea Mungu na kujiandaa kufa akusubiri ugonjwa wala uzee yatosha msiba wa aina hii kuwa mawaidha.
 
Habari nilizozipata punde nikuwa basi la abiria toka Moshi kwenda Mwanza jioni hii limepata ajali baada ya tairi la mbele kupasuka. Habari zaidi zitafuata.

source:RFA.
Poleni sana mliyopata msiba,muwe na moyo wa subira,na waliyoumia, Mungu awape uzima waendelee na shughuli zao za kila siku.
 
Habari ni za kweli ni eneo la Ungumarwa karibu na Misungwi kuna staff wenzetu wanne walikuwa kwenye basi hilo wanatoka semina Moshi wawili kati yao wamethibitika kufariki ndio tupo kikaoni tunaomboleza lakini hatuna taarifa kamili kama kuna vifo zaidi au laa, ntawajuza waliokwenda hospitali misungwi watakaporudi.

mzee wa ukiriguru pole sana,RIP mhando and moshezi
 
Kwa habari za kuaminika dereva alisababisha ajali alichukulia gari shinyanga na alikuwa anaendesha gari very roughly lakini abiria walikuwa wakimwambia anawapuuzia sana na hadi baadhi ya habiria kupiga simu kwa RTO Mwanza bila mafanikio mpaka gari kupata ajali
 
Duh! yaan hata RTO alipuuzia hiyo taarifa, hii tanzania bure kabisa.
 
Back
Top Bottom