Basi la Hood laua

Basi la Hood laua

Makamee

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2013
Posts
2,029
Reaction score
1,201
Watu 3 wamefariki na 27 wamejeruhiwa ktk basi la Hood linalotoka Iringa kwenda Arusha baada ya basi hilo kupinduka eneo la Makanya jioni ya leo.
 
...

...Mwendo kasi unauwa ...ukipanda hood roho lazima ihame kwa masaa!!!
 
Poleni. sana

Mungu awanye haraka majeruhi wote.
 
Mungu awaponye majeruhi. Poleni sana mliofiwa. RIP marehemu
 
RIP marehemu, poleni majeruhi, mpone haraka kwa Jina la Yesu Kristo
 
Kafara??????? Waliouwa mwisho wa mwaka wameongeza magari kadhaa mapya.
 
Allah awarehemu!!!!!

Ila hiyo route na.mwendo wao ukikuta wameumana na Abood!!!!

Mnaosafiri hiyo route nadhani mnaelewa nini naongea
 
hii habari moja? ama mleta mada wa leo ameona habari ya kwanza haikupewa attention that kaamua kurudisha uzi upya, maana naona kuna tofauti kidogo tu! majeruhi ni sawa 27, kampuni ya bus ni ile ile, japo tofauti ni idadi ya watu walifariki na eneo la ajali! poleni wafiwa na majeruhi
News Alert: Ajali: Basi la Hood laua mmoja na kujeruhi 27 By mge in forum Habari na Hoja mchanganyiko
Replies: 46 Last Post: 23rd December 2013, 11:55
 
hii habari moja? ama mleta mada wa leo ameona habari ya kwanza haikupewa attention that kaamua kurudisha uzi upya, maana naona kuna tofauti kidogo tu! majeruhi ni sawa 27, kampuni ya bus ni ile ile, japo tofauti ni idadi ya watu walifariki na eneo la ajali! poleni wafiwa na majeruhi

Hii ni ajali mpya imetokea leo trh 19 Jan 2014,siku ambayo Nkamia na Nchemba wameteuliwa kua manaibu waziri.
 
[R. I. .P. Poleni familia ya Mziray kwa kumpôteza mama yenu mpendwa. BWANA AMETOA BWANA AMETWAA. QUOTE=bdo;8446356]hii habari moja? ama mleta mada wa leo ameona habari ya kwanza haikupewa attention that kaamua kurudisha uzi upya, maana naona kuna tofauti kidogo tu! majeruhi ni sawa 27, kampuni ya bus ni ile ile, japo tofauti ni idadi ya watu walifariki na eneo la ajali! poleni wafiwa na majeruhi [/QUOTE]
 
Back
Top Bottom