Basi la Hood lateketea kwa moto eneo la Wami

Basi la Hood lateketea kwa moto eneo la Wami

fangfangjt

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2008
Posts
571
Reaction score
139
AJALI PWANI: Basi la Hood kutoka Mbeya-Arusha, laungua moto jioni hii eneo la Wami, Pwani. Chanzo hakijulikani, hakuna vifo wala majeruhi, Polisi wathibitisha.

------------------------------------------------------------

bus la hood linateketea kwa moto
attachment.php


 

Attachments

  • IMG-20140428-WA0026.jpg
    IMG-20140428-WA0026.jpg
    35.2 KB · Views: 12,293
Last edited by a moderator:
cheh cheh cheh....vipi abiria wamewahi kutoka..? mungu awasaidie jamaa zetu hao abiria...
 
Ndugu ni vyema ukatujuza zaidi... heading za namna hii bila hata maelezo kidogo ... unaleta maswali mengi kuliko majibu
 
aisee mbona umekimbia au nani ajuaye atupe habari ni hatari sana
 
Kafara walichelewa kutoa, ndio matokeo yake hayo
 
Mku ni mda gani limewaka moto nachanzo nini?.linatoka linakwenda wapi.jazia nyama habari yako.bt thanx kwa tarifa
 
Back
Top Bottom