Basi la Baraka Classic lapata ajali

Basi la Baraka Classic lapata ajali

kunguni wa ulaya

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2014
Posts
4,131
Reaction score
6,125
Basi hilo linalofanya safari zake katika ya Dar na Lindi leo asubuhi limepata ajali katika eneo la Mwandege Mkuranga likigongana na basi aina ya Tata linalofanya safari zake kuelekea mikoa ya kusini.

Baadhi ya abiria toka katika TATA wamejeruhiwa.

Mashuhuda wanasema chanzo ni Trafik alielisimamisha Basi hilo la Baraka kwa ghafla wakati likiwa kwenye mwendo na likajaribu kumkwepa dereva wa bodaboda aliekuwa anatokea Vikindu.

20200803_062749.jpg
 
Tuna tatizo kubwa sana la hawa wanaoitwa Traffic, mimi wakinisimamisha seven ambayo siilewi sisimami, naenda kusimama sehemu salama. Hata Jana ilitokea hivyo hivyo pale maeneo ya Miembe Saba- Pwani
 
Easy come easy go

California love
 
Poleni Sana Wote, Na Majeruhi Wapone Haraka Sana. Askari Aliyehusika Kusababisha Ajari Akamatwe Haraka Apekekwe Mahakamani
Trafiki Hasipi tumia akili dereva akiongezea.
Hajali za namna hiyo singida ulisha wahi tokea.
Hisikibali kusimama ghafla
 
Umeandika nini?Upo chooni ukipanga magogo ya Tanesco kwenye lori?Hariri urudi tena!!
 
Muwe makini sana mnaposafiri hasa wakati huu kuna majitu yanagombea uongozi kwenye vyombo vya dola na hawategemei kupita kwa hoja bali kwa damu za watu.
Basi hilo linalofanya safari zake katika ya Dar na Lindi leo asubuhi limepata ajali katika eneo la Mwandege Mkuranga likigongana na basi aina ya Tata linalofanya safari zake kuelekea mikoa ya kusini.

Baadhi ya abiria toka katika TATA wamejeruhiwa.

Mashuhuda wanasema chanzo ni Trafik alielisimamisha Basi hilo la Baraka kwa ghafla wakati likiwa kwenye mwendo na likajaribu kumkwepa dereva wa bodaboda aliekuwa anatokea Vikindu.

View attachment 1525535
Pole kwa majeruhi
Poleni Sana Wote, Na Majeruhi Wapone Haraka Sana. Askari Aliyehusika Kusababisha Ajari Akamatwe Haraka Apekekwe Mahakamani
Halafu unaweza kusikia eti dereva ndio anapewa kesi ya mwendo kasi.

Poleni kwa hasara, majeruhi na upotezewaji wa muda.
Hawa matrafiki laana zinawatafuna. Kwa siku mtu anaingiza 200 k lakini maisha yake ya kuungaunga tu.
Tuna tatizo kubwa sana la hawa wanaoitwa Traffic, mimi wakinisimamisha seven ambayo siilewi sisimami, naenda kusimama sehemu salama. Hata Jana ilitokea hivyo hivyo pale maeneo ya Miembe Saba- Pwani
Easy come easy go

California love
Jumapili iliyopita nilikua naenda kibaya, kawasimamisha Waarabu wakampa sijui ni kachori akaanza kula... Niliona aibu Mimi
Duuuuuhhh, kweli mambo ya aibu sana.
Traffic Marshall unapewa kachori na mtu mweupe
Njaa za matrafiki ndo zinasababisha yote haya
Trafiki Hasipi tumia akili dereva akiongezea.
Hajali za namna hiyo singida ulisha wahi tokea.
Hisikibali kusimama ghafla
Umeandika nini?Upo chooni ukipanga magogo ya Tanesco kwenye lori?Hariri urudi tena!!

kwa damu za watu.
 
Poleni Sana Wote, Na Majeruhi Wapone Haraka Sana. Askari Aliyehusika Kusababisha Ajari Akamatwe Haraka Apekekwe Mahakamani
... utasimamishwaje ghafla na trafiki na wewe usimame? Yaani achomoke ghafla kutokea porini kunisimamisha nachomoka naye kwa usalama wa wengi na chombo chenyewe! Dereva naye boya; alitakiwa azingatie usalama kwanza mengine baadaye.
 
Ajali ya kitoto hii. Majinja ndio ilikua ya kibabe
 
Jumapili iliyopita nilikua naenda kibaya, kawasimamisha Waarabu wakampa sijui ni kachori akaanza kula... Niliona aibu Mimi
Huyu anahatarisha maisha yake kwa sababu ya uroho. What if wakiamua kumwekea sumu au madawa ya kulevya kwenye hizo Kachori?
 
Basi hilo linalofanya safari zake katika ya Dar na Lindi leo asubuhi limepata ajali katika eneo la Mwandege Mkuranga likigongana na basi aina ya Tata linalofanya safari zake kuelekea mikoa ya kusini.

Baadhi ya abiria toka katika TATA wamejeruhiwa.

Mashuhuda wanasema chanzo ni Trafik alielisimamisha Basi hilo la Baraka kwa ghafla wakati likiwa kwenye mwendo na likajaribu kumkwepa dereva wa bodaboda aliekuwa anatokea Vikindu.

View attachment 1525535

Sasa hapo aliesababisha ajali ni trafiki, bodaboda au dereva wa baraka class

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom