basi la azam fc

basi la azam fc

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
26,677
Reaction score
59,174
AZAMFCwAKOJUU.jpg

mia
 
Simba wakongwe wewee, hebu tembelea hapa uone vitu. Tangia hapo hao Azam ni vijana wetu!

161938_183975918302028_4229925_q.jpg


haya hongereni kwa website.... kusema ni watoto wenu hiyo ni habari nyingine..... kwani kuna uhusiano wowote wa ki-team na azam?? Yanga na Toto sawa, ama Nyinyi na Coastal au African lyon... ila kwa azam inabidi utumie muda kunielewesha
 
walipewa basi lingine baada ya kuzifunga simba na yanga huko zazibar. mia
 
hawa jamaa wanausafiri wa kweli kuliko club zote kongwe ambazo zilikuepo hapa bongo..! yani hadi aibuuuu.. jamaa zetu kila siku mpaka utoke mchango wa SSSERENGETIIIII SERENGEEEETIIIIII EEEH EEEEH EEEH EEEEH EEEH...! wakati walikuepo kwenye gemu kitaambo...! inaniuma saana..!
 
Aisee..kwa ukubwa huu watapata hata makomandoo sasa wa kusafiri nalo ili wakasimamie tiketi mlango...........hapo ndio kwishney............
 
Back
Top Bottom