Basi la AirBus kutoka Tabora- Dsm lapata ajali Morogoro

Basi la AirBus kutoka Tabora- Dsm lapata ajali Morogoro

Pmaji

Member
Joined
Mar 23, 2013
Posts
34
Reaction score
2
Watu 24 wamejeruhiwa baada ya basi kupinduka. Dereva na abiria 3 wamejeruhiwa vibaya.
 
Watu 24 wamejeruhiwa baada ya basi kupinduka. Dereva na abiria 3 wamejeruhiwa vibaya. Taarifa toka RADIO ONE.
 
Tuliambiwa leseni mpya zitapunguza ajali,bila kusema how!Watu wamelamba sh 40000x1000000
 
Basi gani?
Limepata ajali wapi?
Ni basi gani?
Saa ngapi?
Likitokea wapi kuelekea wapi?

Weka nyama kidogo watu waelewe.
 
Embu tuliza roho ulipoti vizuri,hiyo ajali ni basi gani?limepata ajali wapi?lilikuwa linatoka na kwenda wapi?ikiwezekana na picha na idadi ya raia,hapo utakuwa umetusaidia,vingenevyo tutaona labda unaota tu au bange zako!!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Witnesses says that source of that accident is extremelly speed...source itv
 
ni kweli nimeliona muda ule, ajari ni mbaya sana maana lilikuwa mbele yetu
 
Back
Top Bottom