Hapana. Kwani Wakinga hawapo Mbeya. Nimekupa fact. Kama hutaki acha. Simaanishi Sauli ni jina la nyakyusa. Namaanisha Sauli buses zinamilikiwa na mnyakyusa, Bw. Sauli Mwalabhila. Kijana aliyepata pesa kwa kuchimba madini kule Chunya. Ndio maana nembo yake ni sururu na spade.