Hii sekta watawala wamefail sana,juzi nikitoka Arusha nimemtumia muda wa zaidi ya saa 3 kutoka Chalinze kuingia Dsm licha ya kwamba hakukuwepo foleni.Na kwa mwendo wa sahivi wa tochi ni lazima upige magoti kwenye gari, safari ya masaa 6 sahivi ni masaa 10
Ndenjela
nauli ikoje Dar - Mbeya?
super sami,super shem na isamilo,nilipanda wakati fulani ila nikaapa kuwa sitapanda tena safari ya moja kwa moja,heri ulale dodoma then siku ya pili mbeya unaingia saa tisa jioni
hizo gari ni za kampuni moja kwa hiyowana tabia ya kwamba gari ya mbeya ikifika iringa inaisubiri ile inayoishia iringa then abiria wa mbeya wote wanashuka wanajaa kwny hyo ya mbeya,hapo usiku sasatrafik hakuna kwa hiyo mnajazana ka kuku hivi na wafanyakazi wake ni wababe mnoooooo
nauli ni 50,000/=,
Nakushsuri ujempaka dodoma then siku ya pili fika mbeya.
asanteKwakweli sijui.
Huwa natumia usafiri binafsi, sijawahi kupanda bus.
Vipi mda wa kufika ni saa 6-9 usiku?
Mwanza-Iringa via Mtera mnaingia saa moja jioni. Na mbeya mnaingia saba kasoro robo- hiyo ni stendi ya zamani. Kama kweli unataka kusafiri na hauna uhakika wa wapi ufikie kwa maana ya hotel/guest house tuwasiliana. Dodoma, Mtera, Migoli, Iringa, Ifunda, Mafinga, Makambako, Uyole, Mbeya, Mbozi na Border ya wajanja pale Tunduma. Karibu.Inafika Saa ngapi iringa?
Nataka kusafiri wiki ijayo kutoka Mwanza kwenda Mbeya, napenda mnisaidie basi gani zuri na lenye bei ya kati au nafuu.
Pia unijuze linafika Mbeya saa ngapi?
Natanguliza shukrani.
Mwanza-Iringa via Mtera mnaingia saa moja jioni. Na mbeya mnaingia saba kasoro robo- hiyo ni stendi ya zamani. Kama kweli unataka kusafiri na hauna uhakika wa wapi ufikie kwa maana ya hotel/guest house tuwasiliana. Dodoma, Mtera, Migoli, Iringa, Ifunda, Mafinga, Makambako, Uyole, Mbeya, Mbozi na Border ya wajanja pale Tunduma. Karibu.
kama hujui kitu kaa kimya.. Kenge wewe... Basi zipo za njia mbili aidha iringa-Mtela to mwanza au... Njia ya Chunya-tabora to mwanza au mbeya...hanuana basi linalotoka mwamza mbeya lazima uunge tu aidha ufike dodoma au moro au dsm . mabasi mazuri ni ndenjela Rungwe , New force , JM na zingine lakini kwa kiasi kikubwa mabasi ya mbeya dar ni mazuri na ni masaa 11 au kumi na mbili unafika mbeya kutoka dsm nauli ni 350000 hadi 40000
Daaah, kumbe nikomee iringa nilale kesho yake niendelee
Huna haja ya kulala iringa...super sum zipo mbili ile inayokomea iringa na ile ya mbeya... Panda ya mby moja kwa moja...... Au panda bus ya hbs'yaani sabena, au sasebosa hii njia ni ya vumbi... Ila utalala njian na znatoka tbra saa saba mchana na kuingia saa NNE asbh kesho yake
Daaah, kumbe nikomee iringa nilale kesho yake niendelee