mchumi tumbo
JF-Expert Member
- Mar 2, 2018
- 832
- 997
Panda Arusha exp hutojuta
Arusha express ndo baba lao hapo hood anapita moro ko distance inakuwa ndefu gracious ni scraperMkuu basi la uhakika ni Gracious the navigator. Unafika Mbeya saa tatu na nusu mpaka saa nne japo huwa linafuatiwa na Arusha express.
Bwana we unamkataa Gracious wakati watu kila siku tupo Kihesa tunabet nani atatangulia kupita, na kila siku Gracious anamuacha Arusha express kuanzia nusu saa mpaka dk 45. Labda kidogo ungeniambia Respect ndio alikuwa anamsumbua Gracious. Lakini kwa sasa Gracious ndio kiboko yao njia hiyo hasa lile lililoandikwa Trump ya Ching Chong kwa nyuma.Arusha express ndo baba lao hapo hood anapita moro ko distance inakuwa ndefu gracious ni scraper
Asanteee sanaa mkuuu ngoja nitaipanda na mbeya Gracious inafika saa ngap ?Bwana we unamkataa Gracious wakati watu kila siku tupo Kihesa tunabet nani atatangulia kupita, na kila siku Gracious anamuacha Arusha express kuanzia nusu saa mpaka dk 45. Labda kidogo ungeniambia Respect ndio alikuwa anamsumbua Gracious. Lakini kwa sasa Gracious ndio kiboko yao njia hiyo hasa lile lililoandikwa Trump ya Ching Chong kwa nyuma.
Saa tatu na nusu mpaka saa nne usiku.Asanteee sanaa mkuuu ngoja nitaipanda na mbeya Gracious inafika saa ngap ?
Bwana we unamkataa Gracious wakati watu kila siku tupo Kihesa tunabet nani atatangulia kupita, na kila siku Gracious anamuacha Arusha express kuanzia nusu saa mpaka dk 45. Labda kidogo ungeniambia Respect ndio alikuwa anamsumbua Gracious. Lakini kwa sasa Gracious ndio kiboko yao njia hiyo hasa lile lililoandikwa Trump ya Ching Chong kwa nyuma.
mkuu hii gari ikitoka mbeya huwa inalala arusha au Moshipanda kiazi kitamu
Ndio nawashangaa wanaoilinganisha na Marcopolo za Arusha express, Respect waliangusha gari sababu ya kumfuata Gracious mpaka tajiri akaeaambia msifukuzane naye.Scania 95 310 ile...uwezo mkubwa.
moshimkuu hii gari ikitoka mbeya huwa inalala arusha au Moshi