King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 60,419
- 88,753
Habari zenu wadau...
Nina safari ya Mwanza kizazi na ndio mara yangu ya kwanza kufika kwenye mji huo...
Ni basi gani ambalo lina huduma nzuri linalofanya safari zake Kati ya Dar na Mwanza..
Shukran za dhati kwa watakaonipa majibu ya swali langu
Kampuni yenu inechoka sana safari ya Kikazi(Kizazi) unapanda gari? Kwanini usipande Mwewe?