Ex Spy
JF-Expert Member
- Jan 15, 2007
- 314
- 2,657
Kabla ya kufungiwa kwa Kanisa la Gwajima tuliongea; ilipotolewa barua ya kufungiwa nikakutafuta kwa njia nyingine nikakwambia “Serikali ijitenge na hili” - nayo ukanipuuza.
Ilipofika kufungiwa, nikakutafuta na kukushauri maamuzi ya haraka yafanywe na pande mbili ziongee - ukanieleza upande wako.
Mambo yalienda, ikafika wakati karibu na Oktoba 29 nikaona nikutafute tena, nikakukumbusha maana ya “Waziri mwenye Dhamana”. Nikakusisitiza hakikisha haimwagiki damu (sasa hapa utakuwa umeshajua mimi nani).
Maajabu ni kuwa hata ushauri wa mwisho nao ulipuuzwa.
Sasa, angalia kinachokuja mbele yako, naamini utakipenda tu. You will always regret this!