Bashungwa, nilikwambia - hukunitilia maanani

Bashungwa, nilikwambia - hukunitilia maanani

It’s too late. Arrogance of power inawasumbua hawa
TEC walikuwa na malengo naye ila kazi aliyotumwa hakuifanya akaponzwa na NGOSWE PENZI KITOVU CHA UZEMBE , wakaachana naye
 
Not only that, nilionya watu kuhusu wizara ya mambo ya ndani. Ni koja ya wizara zinazoua career za watu. Kila anapita pale haji kuwa popular anymore or kuaminika

Bashungwa is the latets victim
Ndo maana juzi kati nlikoment mahali baada ya Gwajima kusifiwa eti ni waziri bora kuliko wote,nkawaambia apelekwe wizara ya mambo ya ndani ndipo tuanze kumpima uzuri wake..
 
Binafsi namna tunavyopata viongozi wetu wa kisiasa na kwenye taasisi kubwa na nyeti, sikutegemea kuona weledi wa kutosha kwenye presha kidogo tu.

Huyu jamaa mie nilistukia tu yuko serikalini na wala sikujua uzoefu wake kwenye kuongoza wizara au kikundi chochote cha maana. Wateule wetu hawana uzoefu kwenye nafasi zao.

Mungu akitusaidia tukapita salama kwenye hili, viongozi wajiulize mara 2 kabla hawajaamua kuchukua maamuzi mqgumu ya kushikilia nafasi wasizo na uwezo nazo
 
Ndo maana juzi kati nlikoment mahali baada ya Gwajima kusifiwa eti ni waziri bora kuliko wote,nkawaambia apelekwe wizara ya mambo ya ndani ndipo tuanze kumpima uzuri wake..
Hamna mtu pale. Anaweza kupiga picha na mumewe na kuposti tu pia kukoromea wamama na mahausigeli tu wanaonyanyasa watoto, ila issue serious zote zinazogusa wizara yake anakimbiaga na kufunika kichwa ardhini. Anasingizia ni za wizara nyingine
 
Back
Top Bottom