kaa kimya bashite ww. unafkr ukibadil jina hujulikani? toa chet acha blah blaHuyo mbunge ndio katumwa na wananchi wa jimbo lake kuhoji cheti cha mtu? Na akishakiona ndio jimbo lake litakuwa limetatua shida za Maji, hospital, miundombinu na mengineyo?
Akionyeshwa cheti uchumi wa nchi unakua kwa kasi sana?
Wale waliosimamishwa na kufukuzwa wameongezaje uchumi wa nchi? Huyu aliyebakizwa ameongezaje uchumi kama siyo kuwaharibiwa wenzie ajira? Anglaia machinga wa video na sinema za nje je, mbona hawafungii kuangalia mipira ya nje na kubakiza ya nchini tu? Hawa wabongo wanaotaka zinunuliwe filamu zao wamefikia kiwango gani? Filamu pekee ambayo imefikia kiwango na ambayo naweza kuitangaza ningekuwa mtu wa masoko ni CHAUSIKU pekee basi.Akionyeshwa cheti uchumi wa nchi unakua kwa kasi sana?
Na wewe pia 0 ndio maana unamshangaa anehoji ukweliHuyo mbunge ndio katumwa na wananchi wa jimbo lake kuhoji cheti cha mtu? Na akishakiona ndio jimbo lake litakuwa limetatua shida za Maji, hospital, miundombinu na mengineyo?
Jaman nihatari kwa maendeleo ya bashite! [emoji3][emoji3]Huyu Mb amenichekesha sana kwanza kwa jinsi anavyoongea na huo msamiati uliobuka eti kama team inafungwa bao 4-0 utasikia bao 4 kwa bashite................!
Kwani sie watumishi tuliosumbuliwa na uhakiki wa vyeti feki, tulivyowaonesha mmejenga Viwanda?Akionyeshwa cheti uchumi wa nchi unakua kwa kasi sana?
Huyo ni chupi achana nayeKwani sie watumishi tuliosumbuliwa na uhakiki wa vyeti feki, tulivyowaonesha mmejenga Viwanda?
Usimuite hivo mdogo angu banaHuyo ni chupi achana naye
Hivyo vyeti mliwaonesha watu mitandaoni ?Kwani sie watumishi tuliosumbuliwa na uhakiki wa vyeti feki, tulivyowaonesha mmejenga Viwanda?
Mbunge ahoji kwanini cheti chake kinafichwa tuu. Analindwa na nani?
Kula furu na jinumbu upumzikeHivyo vyeti mliwaonesha watu mitandaoni ?
Mnaburuzwa na mamangi mpaka simanzi
Yaani kuna mama alifiwa na mume miaka hiyo, binamu yake alimpa cheti akaenda chuo, alimaliza na kuajiriwa na ameweza kulea watoto wake vizuri. Imebaki miaka mitano astaafu imebidi aache kazi kwasababu cheti cha VI si cha kwake.Kwani sie watumishi tuliosumbuliwa na uhakiki wa vyeti feki, tulivyowaonesha mmejenga Viwanda?
Mzungushie mauno hapo mangi apate ujuzi wa kwenda kuwazungushia watalii sakinaKula furu na jinumbu upumzike
Watu wamepoteza kazi, watu wamefungwa wengine wamekufa kisa vyeti feki....Yaani kuna mama alifiwa na mume miaka hiyo, binamu yake alimpa cheti akaenda chuo, alimaliza na kuajiriwa na ameweza kulea watoto wake vizuri. Imebaki miaka mitano astaafu imebidi aache kazi kwasababu cheti cha VI si cha kwake.
Mie leo kiuno kinauma, njoo unisaidie kumzungushia najua we mtaalamu wa dogori atapata uno la haja atafurahia shooMzungushie mauno hapo mangi apate ujuzi wa kwenda kuwazungushia watalii sakina
Huyo Mbunge lazima kaguswa kwenye maslahi yake, kwanza aliyemtaja hajulikani.
Hata aliyoyaongea ni kama yupo chini ya mti anapiga stori na wenzake, hii issue naona sasa kila mtu anatafutia kiki kujulikana, huku majimboni mwao hakuna wanalofanyia wananchi.
Sijui mnachaguaga wabunge wengine kwa sababu gani na wa nini huko mliko khaaaaaa
Hapa kazi tu
Mpe tigo, kama haitemi kama kwapa lakini- maana minjino njano walivyo anaweza kuwa anabweka kama mbuzi nikimpiga miti ka nguvu ya mambaMie leo kiuno kinauma, njoo unisaidie kumzungushia najua we mtaalamu wa dogori atapata uno la haja atafurahia shoo