mwanaMtata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2014
- 2,393
- 1,433
Vipi hapo Kolomije mvua zinanyesha??Hakuna la maana la kuongelea humo ndani? Wanaboaaaa
Huyo mbunge ndio katumwa na wananchi wa jimbo lake kuhoji cheti cha mtu? Na akishakiona ndio jimbo lake litakuwa limetatua shida za Maji, hospital, miundombinu na mengineyo?Mbunge ahoji kwanini cheti chake kinafichwa tuu. Analindwa na nani?
[emoji23] [emoji23] bao 4 kwa MakondaHuyu Mb amenichekesha sana kwanza kwa jinsi anavyoongea na huo msamiati uliobuka eti kama team inafungwa bao 4-0 utasikia bao 4 kwa bashite................!
Tuache double standard. Wale walioondolewa kwenye ajira kwa kughushi vyeti,je uchumi wetu umeongezeka? Tumeongeza GDP au PPP? Suala ni utaratibu na takwa la kisheria kuwa lazima kila mtumishi awe na vyeti halali,ni hilo tu!Huyo mbunge ndio katumwa na wananchi wa jimbo lake kuhoji cheti cha mtu? Na akishakiona ndio jimbo lake litakuwa limetatua shida za Maji, hospital, miundombinu na mengineyo?
Umeongea point mkuu, hawa wajinga wanashabikia ujinga sijui wengine siyo watu?Tuache double standard. Wale walioondolewa kwenye ajira kwa kughushi vyeti,je uchumi wetu umeongezeka? Tumeongeza GDP au PPP? Suala ni utaratibu na takwa la kisheria kuwa lazima kila mtumishi awe na vyeti halali,ni hilo tu!
Point taken, wenye akili ndogo watakupinga hasa wale wenye rangi za viwavi jeshiTuache double standard. Wale walioondolewa kwenye ajira kwa kughushi vyeti,je uchumi wetu umeongezeka? Tumeongeza GDP au PPP? Suala ni utaratibu na takwa la kisheria kuwa lazima kila mtumishi awe na vyeti halali,ni hilo tu!
[emoji3][emoji4][emoji12][emoji126][emoji126][emoji126]Point taken, wenye akili ndogo watakupinga hasa wale wenye rangi za viwavi jeshi
Uchumi usichukuliwe kama scapegoat, humo bungeni wanajadili uchumi tu hakuna mengine?Akionyeshwa cheti uchumi wa nchi unakua kwa kasi sana?
Uwa ni scapegoat.Uchumi usichukuliwe kama escape goat, humo bungeni wanajadili uchumi tu hakuna mengine?
Ohoooo kazi kweli kweliAkionyeshwa cheti uchumi wa nchi unakua kwa kasi sana?