Unapoleta maada unapaswa kuwa neutral ili upate wachangiaji wengi yaan ulivyo onyesha tu kwamba uko upande wa mbowe na babu nilisikia harufu mbaya kama umefunja yai viza.
Mhadhiri wa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam Bw. Bashiru Ally amesema upinzani hauongezeki nchini kwa sababu hakuna uwajibikaji ndani vyama na kwamba wananchi wamekata tamaa.
Amesema vyama vinaweza kuahidi katiba ndani ya siku 100 na wananchi wakakimbilia hayo matumaini hewa kumbe lengo lao na kuingia Ikulu.
Anaendelea kusema mgogoro wa Chadema umewakatisha tamaa wananchi kwani wapo watu waliowekeza nguvu,muda na fedha wakidhani wamepata chama Mbadala.Kwamba kilichotokea ni kama mimba imetoka.
Source: jamhuri jan.13-20,2014
My take:Huyu eti ni msomi.
Kinachomtia upofu ni udini au mapenzi ya uccm?
Yaani badala ya wananchi kukata tamaa kwa CCM inayoongoza serikali wakate tamaa kwa vyama visivyo na serikali kana kwamba ndivyo vinavyoleta ukali wa maisha!
Msomi MAJALALA!
Kwamba kilichotokea ni kama mimba imetoka.
Hivi hapo udini upo wapi kwani kilichotokea Chadema ni uongo mtu hakiwa Muislam akiwakosoa Chadema anaitwa mdini.Mhadhiri wa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam Bw. Bashiru Ally amesema upinzani hauongezeki nchini kwa sababu hakuna uwajibikaji ndani vyama na kwamba wananchi wamekata tamaa.
Amesema vyama vinaweza kuahidi katiba ndani ya siku 100 na wananchi wakakimbilia hayo matumaini hewa kumbe lengo lao na kuingia Ikulu.
Anaendelea kusema mgogoro wa Chadema umewakatisha tamaa wananchi kwani wapo watu waliowekeza nguvu,muda na fedha wakidhani wamepata chama Mbadala.Kwamba kilichotokea ni kama mimba imetoka.
Source: jamhuri jan.13-20,2014
My take:Huyu eti ni msomi.
Kinachomtia upofu ni udini au mapenzi ya uccm?
Mkuu, kwanza utambue kuwa suala la udini halojaelezwa na Bashiru Ali bali limewekwa kama swali na mleta uzi. Tatizo la wafuasi wengi wa bavicha wanakimbilia kuchangia badala ya kusoma na kuelewa kwanza.Baadhi ya watu kama huyu ndio wanaofanya kauli za udini zitoke, hapo anamaanisha tamaa imekatwa kwa ajili ya zzk? Hivi mbona kafulila hakushabikiwa kiasi hiki! Tena basi yeye hatukuona taarifa zake zozote za kupewa mapesa na kuhongwa ili asaliti au akae kimya kama huyu aliyezoa mapesa kwenye machimbo na serikalini? naanza kufikiri kuwa wengi wanaomshabikia zzt au ni udini ama wale washabiki wa chama tawala, kama zuberi angekuwa na dini ya kafulila usingeona wengi wakifoka na kutoa conculision kama za huyu anayejiita mhadhiri wa chuo. Haya ni mawazo yangu mimi
He used to work for the system when at High School in 1990s.......with the same system in power I dont see him as a credible critic of the same!!
Hiyo mimba ina miezi mingapi Mkuu Ritz?Mimba imetoka!
Mkuu, unaweza kunieleza japo suala moja tu ambalo unadhani kuwa Bashiru amesema uongo? Au kwa vile mmesemangwaNilikua namadmire huyu jamaa na nilidhani atafill the gape lililoachwa na Harub Othman but amegeuka kua rubish kujaji mambo kisiasa, kidini na kikabila Usomi wake upo wapi watu Unadharauliwa mitaani Bashiru unadhalilisha elimu yaku jadili fact na sio kila kukikuchwa ulalaie upande wako... Shame on you guy