Baada ya kauli ya kizalendo yenye Nia njema iliyotolewa na mwanazuoni Kijana mzalendo ambae taifa hili limetumia pesa nyingi kumsomesha Bashiru Ally Kuna magenge mbali mbali ya wahuni kama alivyo tuambia kijana wetu mpendwa Balozi Polepole yameanza kuweweseka.
Mabeberu haya yanayo ikalia nchi kinyume na KATIBA na kikatili yakiuwa watu na kuwafungulia kesi za urongo wapinzani yamekereka sana kuona Bashiru anawapa elimu watu waliodanganywa kuwa wao ni wanyonge.
Kijana wetu Bashiru tulie msomesha wenyewe kwa Kodi zetu ametwambia tuache Uzuzu wa kushukuru serikali kwanza serikali yenyewe haipo kisheria ni batili iliyo kwapua kura ktk mabegi halafu inajiita ni serikali ya watu. Pili serikali ikitoa huduma ni wajibu wake kwa kuwa pesa ni zetu wananchi tunao lipa Kodi na kuwalipa mishahara viongozi wanao tembelea magari ya kifahari huku sisi tukiokolewa na mitumbwi ktk ajali za ndege.
Huwezi kumkosoa Bashiru Ally kwa kuwa tuu anaongea ukweli ila hata yeye awali alishiriki ubatili huo ni Uzuzu. Ukiwa na Akili timamu Unapaswa kwanza kumpongeza Bashiru kwa kauli thabiti halafu ndo umwambie kuwa ulichelewa kuyaamini haya maneno yako ila. Hakuna mwenye hati miliki ya kuongea ukweli.
Bashiru shikilia hapo hapo hiyo michawa miiamba mapambio inayotegemea kula bila kufanya kazi halali iache iendelee kupiga kelele Nyerere aliwaita ni wanasiasa Malaya mayalaya.
Maendeleo hayana Vyamaa.
Ndugu Benjamin, una poor reasoning.Ulinzi wa nini? auwawe kaua watanzania wengi kwa tamaa zake hafai
Ule mzee ni mnafiki na muuaji tupu anatakiwa afe hana nia nzuri na wananchiNdugu Benjamin, una poor reasoning.
Nakushauri Rudi shule uongeze maarifa.
Suala la BASHIRU Lina sura mbili,
1. Ni Bashiru mnafiki, aliyebaka DEMOKRASIA Kwa kushirikiana na Magu kuitekeleza Ujamaa uchwara.
2. Sura ya pili, ni Bashiru aliye upande wa wananchi Kwa HOJA aliyoitoa kuwahamasisha Wanachama ndani ya chama Chao na wakulima kuendeleza utamaduni alouasisi Mwl Nyerere ya Kuhoji.
Kwa majibu Yako ndugu benja, umeamua kuwa upande wa Musukuma, na Kibajaji, na kutokuwa upande alosimamia Mzee WARIOBA na Mzee Butiku.
Nimemsikia Lema, Lisu na Heche, wote wametoa maoni kwa kuangalia pande mbili.
Wote wamekemea TABIA ya wananchi na Wanachama kuwa na UCHAWA ambao umeota mizizi ktk Nchi.
Kwa maana ingine, Bashiru tunamwacha na ULEVI wake Kwa upande mmoja, lakini tunachukua HOJA yake Kwa upande mwingine Kwa maslah mapana ya nchi.
Kama hujanielewa Kwa ufafanuzi huo, hutakuja kuelewa KAMWE.
Anyway nisikujudge, sijui personally alikuumiza kiasi gn.Ule mzee ni mnafiki na muuaji tupu anatakiwa afe hana nia nzuri na wananchi
tatizo lako umezidisha ushabiki mpaka tunakuona zuzu tuBaada ya kauli ya kizalendo yenye Nia njema iliyotolewa na mwanazuoni Kijana mzalendo ambae taifa hili limetumia pesa nyingi kumsomesha Bashiru Ally Kuna magenge mbali mbali ya wahuni kama alivyo tuambia kijana wetu mpendwa Balozi Polepole yameanza kuweweseka.
Mabeberu haya yanayo ikalia nchi kinyume na KATIBA na kikatili yakiuwa watu na kuwafungulia kesi za urongo wapinzani yamekereka sana kuona Bashiru anawapa elimu watu waliodanganywa kuwa wao ni wanyonge.
Kijana wetu Bashiru tulie msomesha wenyewe kwa Kodi zetu ametwambia tuache Uzuzu wa kushukuru serikali kwanza serikali yenyewe haipo kisheria ni batili iliyo kwapua kura ktk mabegi halafu inajiita ni serikali ya watu. Pili serikali ikitoa huduma ni wajibu wake kwa kuwa pesa ni zetu wananchi tunao lipa Kodi na kuwalipa mishahara viongozi wanao tembelea magari ya kifahari huku sisi tukiokolewa na mitumbwi ktk ajali za ndege.
Huwezi kumkosoa Bashiru Ally kwa kuwa tuu anaongea ukweli ila hata yeye awali alishiriki ubatili huo ni Uzuzu. Ukiwa na Akili timamu Unapaswa kwanza kumpongeza Bashiru kwa kauli thabiti halafu ndo umwambie kuwa ulichelewa kuyaamini haya maneno yako ila. Hakuna mwenye hati miliki ya kuongea ukweli.
Bashiru shikilia hapo hapo hiyo michawa miiamba mapambio inayotegemea kula bila kufanya kazi halali iache iendelee kupiga kelele Nyerere aliwaita ni wanasiasa Malaya mayalaya.
Maendeleo hayana Vyamaa.
Apewe na Nani? Kwa Nini usiende kumlinda wewe?Baada ya kauli ya kizalendo yenye Nia njema iliyotolewa na mwanazuoni Kijana mzalendo ambae taifa hili limetumia pesa nyingi kumsomesha Bashiru Ally Kuna magenge mbali mbali ya wahuni kama alivyo tuambia kijana wetu mpendwa Balozi Polepole yameanza kuweweseka.
Mabeberu haya yanayo ikalia nchi kinyume na KATIBA na kikatili yakiuwa watu na kuwafungulia kesi za urongo wapinzani yamekereka sana kuona Bashiru anawapa elimu watu waliodanganywa kuwa wao ni wanyonge.
Kijana wetu Bashiru tulie msomesha wenyewe kwa Kodi zetu ametwambia tuache Uzuzu wa kushukuru serikali kwanza serikali yenyewe haipo kisheria ni batili iliyo kwapua kura ktk mabegi halafu inajiita ni serikali ya watu. Pili serikali ikitoa huduma ni wajibu wake kwa kuwa pesa ni zetu wananchi tunao lipa Kodi na kuwalipa mishahara viongozi wanao tembelea magari ya kifahari huku sisi tukiokolewa na mitumbwi ktk ajali za ndege.
Huwezi kumkosoa Bashiru Ally kwa kuwa tuu anaongea ukweli ila hata yeye awali alishiriki ubatili huo ni Uzuzu. Ukiwa na Akili timamu Unapaswa kwanza kumpongeza Bashiru kwa kauli thabiti halafu ndo umwambie kuwa ulichelewa kuyaamini haya maneno yako ila. Hakuna mwenye hati miliki ya kuongea ukweli.
Bashiru shikilia hapo hapo hiyo michawa miiamba mapambio inayotegemea kula bila kufanya kazi halali iache iendelee kupiga kelele Nyerere aliwaita ni wanasiasa Malaya mayalaya.
Maendeleo hayana Vyamaa.
Hata yeye alishabikia wengine wakiuwawaHii ndio aina ya baadhi members wa JF ujinga mwingi
Huwezi jua wewe dada angu kaa kimyaAnyway nisikujudge, sijui personally alikuumiza kiasi gn.
Bashiru ameokoka lini?Baada ya kauli ya kizalendo yenye Nia njema iliyotolewa na mwanazuoni Kijana mzalendo ambae taifa hili limetumia pesa nyingi kumsomesha Bashiru Ally Kuna magenge mbali mbali ya wahuni kama alivyo tuambia kijana wetu mpendwa Balozi Polepole yameanza kuweweseka.
Mabeberu haya yanayo ikalia nchi kinyume na KATIBA na kikatili yakiuwa watu na kuwafungulia kesi za urongo wapinzani yamekereka sana kuona Bashiru anawapa elimu watu waliodanganywa kuwa wao ni wanyonge.
Kijana wetu Bashiru tulie msomesha wenyewe kwa Kodi zetu ametwambia tuache Uzuzu wa kushukuru serikali kwanza serikali yenyewe haipo kisheria ni batili iliyo kwapua kura ktk mabegi halafu inajiita ni serikali ya watu.
Pili serikali ikitoa huduma ni wajibu wake kwa kuwa pesa ni zetu wananchi tunao lipa Kodi na kuwalipa mishahara viongozi wanao tembelea magari ya kifahari huku sisi tukiokolewa na mitumbwi ktk ajali za ndege.
Huwezi kumkosoa Bashiru Ally kwa kuwa tuu anaongea ukweli ila hata yeye awali alishiriki ubatili huo ni Uzuzu. Ukiwa na Akili timamu Unapaswa kwanza kumpongeza Bashiru kwa kauli thabiti halafu ndo umwambie kuwa ulichelewa kuyaamini haya maneno yako ila. Hakuna mwenye hati miliki ya kuongea ukweli.
Bashiru shikilia hapo hapo hiyo michawa miiamba mapambio inayotegemea kula bila kufanya kazi halali iache iendelee kupiga kelele Nyerere aliwaita ni wanasiasa Malaya mayalaya.
Maendeleo hayana Vyamaa.
Jambazi kabisa mzimu wa mwendazake unamtafuna hana hata huruma na watanzania mnafiki mkubwaHuyu aliyesaidiana na mwendazake kuua watanzania na kuwaweka kwenye viroba ndiye awekewe ulinzi?
Ni chinja chinja wale ushahidi ni viroba vilivyokuwa vikiokotwa wakati huoAiseee una ushahidi kaua wangapi? Au umeropoka ili uonekane?
Mbona mim nimeongea vizuri tuu jamani kosa langu ni lipi? Ni Kosa langu ni kunukuu maneno ya Polepole kuwa CCM ni genge la wahuni kama wew wanao penda siasa za umalaya Malaya au ni kunukuu kauli thabiti ya Dr. Wa ukweli Bashiru Ally kuwa CCM wache kuwafanya watu kuwa mazuzu?tatizo lako umezidisha ushabiki mpaka tunakuona zuzu tu