Lituye
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 1,864
- 5,697
Baada ya kauli ya kizalendo yenye Nia njema iliyotolewa na mwanazuoni Kijana mzalendo ambae taifa hili limetumia pesa nyingi kumsomesha Bashiru Ally Kuna magenge mbali mbali ya wahuni kama alivyo tuambia kijana wetu mpendwa Balozi Polepole yameanza kuweweseka.
Mabeberu haya yanayo ikalia nchi kinyume na KATIBA na kikatili yakiuwa watu na kuwafungulia kesi za urongo wapinzani yamekereka sana kuona Bashiru anawapa elimu watu waliodanganywa kuwa wao ni wanyonge.
Kijana wetu Bashiru tulie msomesha wenyewe kwa Kodi zetu ametwambia tuache Uzuzu wa kushukuru serikali kwanza serikali yenyewe haipo kisheria ni batili iliyo kwapua kura ktk mabegi halafu inajiita ni serikali ya watu.
Pili serikali ikitoa huduma ni wajibu wake kwa kuwa pesa ni zetu wananchi tunao lipa Kodi na kuwalipa mishahara viongozi wanao tembelea magari ya kifahari huku sisi tukiokolewa na mitumbwi ktk ajali za ndege.
Huwezi kumkosoa Bashiru Ally kwa kuwa tuu anaongea ukweli ila hata yeye awali alishiriki ubatili huo ni Uzuzu. Ukiwa na Akili timamu Unapaswa kwanza kumpongeza Bashiru kwa kauli thabiti halafu ndo umwambie kuwa ulichelewa kuyaamini haya maneno yako ila. Hakuna mwenye hati miliki ya kuongea ukweli.
Bashiru shikilia hapo hapo hiyo michawa miiamba mapambio inayotegemea kula bila kufanya kazi halali iache iendelee kupiga kelele Nyerere aliwaita ni wanasiasa Malaya mayalaya.
Maendeleo hayana Vyamaa.