Kwani Prof Rwekaza bado yupo UDSM?What I know amshastaafu.Au labda anakusimamia kwakua alishapangiwa akusimamie.Kwa hiyo mkuu unanishauri nikae mbali na huyo Prof. vinginevyo nitasota sana. Kwani huyu amesotea hiyo PhD (Permanent Head Damage) kwa miaka mingapi?
Mkuu andika kwa utulivu.Tulifanya interview 5 bora usm hajaingia ata mmoja, 3 udom, 1 sua na mwingine tumain. Udsm namba saba walitakiwa mtu 5 tuu. Hawana kitu.
Ha ha ha haaaMkuu andika kwa utulivu.
Kumuita sio lazima japokuwa kwetu huku kuna wengine wanaona kama wamenyanyapaliwahivi Bashiru ni PhD holder au? maana kuna wanahabari wakifanya mahojiano nae wanamtambulisha kama dokta Bashiru wengine hawamuiti dokta
true . . . . . .na mambo yao ni yale yaleCCM ni ile ile wanajuana kwa vilemba...mhimu tuimarishe upinzani wa ukweli.
ahahahahaaaaaaa . . . . . . . very sad truth, yaani jamaa wanajichukulia tuNaona vyuo vikuu vyote sasa vimekuwa sawa kabisa na kile chuo maarufu pale kigamboni.
yes , . . , jamaa alitunukiwa PhD mwaka 2015 kama sikoseihivi Bashiru ni PhD holder au? maana kuna wanahabari wakifanya mahojiano nae wanamtambulisha kama dokta Bashiru wengine hawamuiti dokta
Njaa kama ya Mwesiga Baregu?
Sasa mamia ya graduate wa udsm, mnagaragazwa maana yake nini?? Ushamba wako endelea kukalili.
Ni Dr Bashiru Ally (PhD)hivi Bashiru ni PhD holder au? maana kuna wanahabari wakifanya mahojiano nae wanamtambulisha kama dokta Bashiru wengine hawamuiti dokta
Yes,we will stay tuned.Ila dah,Bashiru kuwa Katibu mkuu wa CCM si sahihi kwake.It's appropriate for him to stick to his profession,kwanza inampa heshima zaidi na ni dependable.With politics anything is possible and simply not dependable. Ila sasa shida ni kwamba hawezi kama kweli atateuliwa kumkatalia Rais.Kwa Bashiru ni dilemma frankly.