Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,618
- 9,611
Rais wa Sudan Omar al-Bashir
Rais wa Sudan Omar al-Bashir amesema leo Jumatatu kuwa maandamano ambayo yanaendelea kuikumba Sudan kwa karibu mwezi mmoja hayatatoondoa utawala wake wa karibu miongo mitatu.
Ameyasema hayo katika mkutano wa hadhara wa wafuasi wake katika mji wa Darfur, magharibi mwa Sudan.
"Maandamano haya tasababisha mabadiliko ya utawala," amesema Bashirmbele ya umati wa wafuasi wake katika huko Niyala, mji mkuu wa Darfur, kufuatia kutokea kwa maandamano ya kwanza jana Jumapili ya kupinga serikali katika mkoa ulioshuhudia vita vya umwagaji damu tangu mapema mwaka 2000.
"Kuna njia moja tu kwa utawala, na njia hiyo ni uchaguzi. Wananchi wa Sudan watapiga kura mnamo mwaka 2020 kuamua rais wao mpya," amesema Bashir, mwenye umri wa miaka 75, ambaye anatarajiwa kuwania kwa muhula wa tatu mwaka ujao.
Maandamano ya sasa nchini Sudan yalianza tarehe 19 Desemba mwaka 2019 kufuatia uamuzi wa serikali ya kuongeza mara tatu bei ya mkate.
Sw.rfi.fr
Hata Mwenzake aliwaita panyana asiachie tu, mapinduzi matukufu ni ya Zanzibar pekeee
Phuck Omar Al Bashir.Omar Al -Bashir, he should step down., step out of politics.
Aaachie wengine waongoze, hajaleta maendeleo yoyote kwenye utawala wake wa karibui miaka 30.
Sasa hivi ana miaka 75 atafanya nini kipya?
Bw. Bashir yawezekana wameshajaribu sana kutimiza njia hiyo ya uchaguzi haifanikiwi. Wanajua na wote tunajua uchaguzi Afrika haumtoi rais aliyeko madarakani.OMAR BASHIR ASEMA MAANDAMANO HAYATAMTOA KWENYE UTAWALA
Rais wa Sudan, Omar al-Bashir amesema kuwa maandamano ambayo yanaendelea kuikumba Sudan kwa karibu mwezi mmoja hayatamuondoa kwenye utawala wake wa karibu miongo 3
Ameyasema hayo leo katika mkutano wa hadhara wa wafuasi wake katika mji wa Darfur, Magharibi mwa Sudan
Alinukuliwa akisema, "Maandamano haya hayatasababisha mabadiliko ya utawala. Kuna njia moja tu ya utawala, na njia hiyo ni uchaguzi. Wananchi wa Sudan wanatarajia kupiga kura mnamo mwaka 2020 kuamua rais wao mpya," amesema Bashir
Maandamano ya sasa nchini Sudan yalianza tarehe 19 Desemba mwaka 2018 kufuatia uamuzi wa Serikali ya kuongeza mara tatu bei ya mkate.
Sw.rfi.fr
Mkuu upo?Hakuna dikteta ambae ana mwisho mzuri hayupo,hata huyu mwisho wake hautakua mzuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku hizi unaonekana kwa manati Sana ata Israel akishambulia Syria unakuwa upo mbali!
HahahahahaSiku hizi unaonekana kwa manati Sana ata Israel akishambulia Syria unakuwa upo mbali!
Ukiona hivyo basi ujue amewekwa hapo na mataifa yenye nguvu " duniani kwaajili ya manufaa yao " .... haiwezekani maandamano ya chukue mwezi mzima aendelee kuwepo tu ...kuna wanao mpa jeuriOmar Al -Bashir, he should step down., step out of politics. Ameleta Majanga, vita, njaa, umaskini, ubaguzi, nchi kuvunjika.
Aaachie wengine waongoze, hajaleta maendeleo yoyote kwenye utawala wake wa karibui miaka 30.
Sasa hivi ana miaka 75 atafanya nini kipya?
HahaaSiku hizi unaonekana kwa manati Sana ata Israel akishambulia Syria unakuwa upo mbali!
Maalim yupo Lebanon anasaidia Hezbollah kuchimba mahandaki mengine [emoji23][emoji23]Mkuu upo?
Nitafutie maalim sweady
😂😂😂😂 hatari sana mkuu amekuwa adim sana!Maalim yupo Lebanon anasaidia Hezbollah kuchimba mahandaki mengine [emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo unae taka a step down remember ni mwafrica, mtu mweusi, usisahau hilo mkuu! Hatunaga huo utamaduni sisiOmar Al -Bashir, he should step down., step out of politics. Ameleta Majanga, vita, njaa, umaskini, ubaguzi, nchi kuvunjika.
Aaachie wengine waongoze, hajaleta maendeleo yoyote kwenye utawala wake wa karibu ys miaka 30.
Sasa hivi ana miaka 75, atafanya nini kipya?