PreGE2025 Bashe: Rais Samia kuzindua Benki ya Ushirika Tanzania Aprili 28, Ikianza na mtaji bil. 55, matawi manne

PreGE2025 Bashe: Rais Samia kuzindua Benki ya Ushirika Tanzania Aprili 28, Ikianza na mtaji bil. 55, matawi manne

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe, amesema Rais Samia anatarajiwa kuzindua rasmi Benki ya Ushirika Tanzania tarehe 28 Aprili 2025.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Akizungumza leo bungeni jijini Dodoma, Bashe amesema benki hiyo itaanza kwa mtaji wa Shilingi bilioni 55 na itakuwa na matawi manne katika maeneo ya Kilimanjaro, Mtwara, Tabora na makao makuu yake yatakuwa Dodoma.

"Benki hii ni kwa ajili ya wakulima kupitia vyama vya ushirika na itatoa huduma za kifedha kwa lengo la kuimarisha sekta ya kilimo nchini," amesema Bashe.

 
Mungu ampende zaidi akiwa njiani kuzindua hiyo benki
 
Back
Top Bottom