Bashe na utapeli wa kisiasa

Bashe na utapeli wa kisiasa

pole yake mgonjwa, naona anatumika kisiasa wakati yeye ana hali mbaya, ila nimemuelewa jet2015 anapoint, huyu mleta mada ana jazba, ni vyema ukamchukua huyo mzee na kumsaidia wewe uliyekuwa karibu, ayo ya akina bashe utakuja fuatilia baadae. ila kigwa nae anashangaza watu anavyowatetea vijana bungeni kumbe huku nje mtu 1 tu anashindwa mtetea uhai wake? kweli bora uwe kiongozi wa kuzaliwa kuliko kiongozi wa kupewa.
 
Inavyoonekana wewe ni mwenyeji humu kwenye JF ila umefungua ID mpya maalum kwa ajili ya hili jambo. Nahisi kuna jambo limejificha nyuma ya pazia na wewe unao ukweli wake!

Mchango wangu ni: Kwa kawaida anayejua siri ya mtoto ni wa baba yupi ni mama pekee. Uhalali huo unapobainika bila kujali ni wakati gani, huwa unaleta madhara makubwa katika mahusiano ya kijamii. Ni aghalabu mtoto kuendelea kuwa na mapenzi ya dhati kwa mzazi ambaye ama alikuwa hawajibiki kwake au pengine amebaini kuwa hakuwa mzazi wake halili kibaolojia! Fuatilia halafu tuambie kama hiyo sio kati ya sababu ya Mh, kumsusa baba yake!!!
 
Brother Kigwa kama umetoka kwenye kiuno cha huyo mzee hakuna sababu duniani ya kumsusa kama ni kweli......achana na siasa vitu vya kupita....shughulika na afya ya mzee asife kwasababu ya kukosa mambo ya msingi......mzazi ni mzazi.....huwezi kubadili hilo hata akufanyie nini.....tafadhali mkuu kama kuna ukweli kwenye hii taarifa.....

Una sura ya kitoto (? ni mtoto) lakini una hekima zaidi ya JK+Bilal+Pinda+Makinda+Werema!
 
...WANA JAMII! Tuweni na moyo wa huruma, upendo na moyo wa kusaidiana. Nimewasiliana na Mzee Kigwangallah punde tu. Anasema hajapata msaada wa aina yoyote so far kutoka kwa mtu. Si Bashe, wala mwana jamii katoa mchango wake. Tunaishi maisha gani sasa? Mtoto wake kamtupa, nasi pia tunafuata mkondo huo huo. Ubinadamu uko wapi sasa?

Sasa Msonga wewe unatoa mada ya kusaidia na unasisitiza kuwa tuwe na mioyo ya huruma na unasema umeongea na mzee anasema hajapata chochote toka kwa wanajamii,umesahau kuwa nawe hujatuma chochote kwa mzee kwasababu hilo umelithibitisha mwenyewe.? Anza sasa ili mzee apate chochote kiongozi.
 
Mh,dr Kigwangala Kama wewe ni member hapa jf,tunakuomba funguka ili ujioshe na hilo lawama zito sana ili sisi wapiga kura wako tuendelee kuwa na imani nawe,otherwise tutakutosa next year.
 
jamani labda sio baba yake wa kibaiolojia, na huenda amegundua muda mfupi baada ya kupata ubunge
 
Bashe na Kingwagala, makalio yenu.
.... Je, Bashe na Kigwangallah, matapeli, waongo na washenzi, wanafaa kuwa wabunge jimbo la Nzega? Kikwete na mama Salma wanajuta kumpigia chapuo Kigwangalla, waka muunga mkono kumbe ni mshenzi. Bashe anatumia pesa za kifisadi za Rostam Aziz na Lowasa kuwahonga wananchi wa Nzega! Zindukeni. Wapigwe chini wote mwaka 2015 kwa kumwongopea hata mgonjwa, mzee wetu. These are rodent fools..! Nani mwana Jamih kaweza kumsaidia baba yetu, au kimya?
 
.... Je, Bashe na Kigwangallah, matapeli, waongo na washenzi, wanafaa kuwa wabunge jimbo la Nzega? Kikwete na mama Salma wanajuta kumpigia chapuo Kigwangalla, waka muunga mkono kumbe ni mshenzi. Bashe anatumia pesa za kifisadi za Rostam Aziz na Lowasa kuwahonga wananchi wa Nzega! Zindukeni. Wapigwe chini wote mwaka 2015 kwa kumwongopea hata mgonjwa, mzee wetu. These are rodent fools..! Nani mwana Jamii kaweza kumsaidia baba yetu, au kimya?
... Allan na matapeli wenzako, mko wapi sasa baada ya kukusanya pesa za msaada kwa mzee Kigwangala? Hivi hamuogopi mungu nyie?
 
Back
Top Bottom