Msonga Reli
Member
- Jun 15, 2014
- 78
- 6
Wana Jamii,
Mwaka jana tarehe 30 mwezi Agosti, kama mtakumbuka vizuri, vijana wanne waliojiita Friends of Membe wasomali wawili na wabantu wawili wakiongozwa na jamaa mmoja bonge hivi aliyejulikana kwajina la Allan, walitumwa na Bashe Hussein Bashe, Yule Msomali ambaye ni hasimu wake mkubwa na Dr Kigwangallah, a.k.a Saidi Bagaile mbunge mteule wa Jimbo la Nzega mkoani Tabora kwenda nyumbani kwa baba mzazi Dr Kigwangallah kule Pugu baada yakupata taarifa kuwa alikuwa akiumwa.
Madhumuni makubwa ya msafara huo mzito yalikuwa ni: (1) kumjulia hali (2) kuonani namna gani wataweza kumsaidia gharama zamatibabu baada ya kuambiwa kuwamtoto wake kamtelekeza.
Naam, vijana hao walipofika walimkuta mzee kweli anaumwa. Walionesha utu kwa kumuahidi yafuatayo: kumtibia nje ya nchi hasa India mara moja, kuweka umeme nyumba yake na kuikarabati, kuchimba kisima na hatimaye kumsaidia gharama za chakula.
Walisema watamobilize funds kutoka kwa mhishimiwa Membe na wengine ili kutimiza lengo hilo.
Walichukua baadhi ya documents na kuondoka. Kesho yake yaani tarehe 31 Agosti, 2013 jamaa wawili, akiwemo msichana, walifika na kupiga picha za video.
Ili kujua hasa ni kwa kiasi gani Bashe na wenzake wametekeleza ahadi zao, juzi nilifunga safari hadi Pugu.
Nilimkuta mzee Kigwangallah akiwa amelala, yuko hoi kweli anaumwa, si mchezo. Maradhi yamemshika barabara na anahitaji msaada wa haraka ili kuokoa maisha yake.
Kumbe ahadi za Bashe na kundi lake la kitapeli ilikuwa ni fix. Hakuna chochote walichoahidi kimetekelezwa hadi sasa kimefanyika. Huu ndio utapeli wa Bashe na jamaa zake hao.
Walitaka kugain political mileage out of the suffering of Mzee wa watu! Nasikia documents walizo chukua walizitumia kuomba msaada kwa watu lakini mlengwa hakupata kitu na anaendelea kuteseka na ugonjwa wake.
Hivi sasa hata akipigiwahapokei simu na alipotembelewa ofisini kwake Sinza, yasemekana alikataa hata kumwona mzee Kigwangallah na ujumbe wake. Hii ndio tabia ya Bashe, msomali mhaini kweli.
Kwa upande wa Dr Kigwangalla, yeye kaonesha dhahiri ushenzi wake. Hamjali kabisa baba yake mzazi. Hatoi huduma yoyote toka aukwae ubunge mwaka 2010, ila kidogo sana amekuwa kama karogwa vile.Baba yake anaumwa hataki kumtibia na pesa anazo. Yuko busy na mambo yake; hana shida na baba yake wala nduguze.
Wana jamii, msaadawenu unahitajika haraka. Msaidieni mzee wetu moja kwa moja kupitia namba zake za simi zifuatazo: M-Pesa 0754 042 105 au Airtel Money 0784 630 195.
Nawasilisha