Bashe lipa wafanyakazi wako

makamaka

Member
Dec 1, 2011
55
28
Habari Wana jukwaa,Takribani miezi miwili imepita toka kampuni ya new habari ltd ilipowaondoa wafanyakazi wake kwa kuwapunguza kazi (retrenchment). Wakaahidiwa kuwa pesa zao za mishahara ya nyuma na stahiki za kupunguzwa kazi watalipwa ndani ya siku kumi na tano kadri ya barua walizopewa.Sasa ni miezi miwili na hakuna taarifa yeyote toka kwa CEO wa kampuni ndugu Bashe.Tunalileta Hilo jukwaani ili tuwasaidie Hawa ndugu zetu wapate stahiki zao.maana maisha yao ni ya shida kwa wale tulionao mtaani.
 
Andikeni barua ya kumtaka aonane na nyie kabla ya kulalamika huku pasipo kujua kipi kimemsibu hadi kwenda kinyume na ahadi/barua yake kwenu.
Unaandika hivi kwa kejeli kwasababu unaishi kwa shemeji yako. Dada yako anakukingia kifua. Kila wakati unaninginiza poumbou sofani na miguu juu yasofa na kugambaniana remote na beki tatu.
 
Magdalena ujue Bashe ni msomali na una historia nao. Hebu tulia upambane na huyo msomali aliyekutimua na kisu.

Ukisikia Wasomali unapata fangasi kwenye mishipa ya fahamu.
 
Nini wewee mkaldayo? Unajiona umfika eee tangu dada yako hakutoe uswaz kwa kaka yako? Yani mmepiga fitina na dadako hadi shemeji yako kawatimua wote ndugu zake wa damu. Eti nawe mwanafamilia.

Hizo heavy meals unazoparamia kwenye friji iliyojaa marosoroso na mazagazaga zinakuvimbisha tumbo hadi unawadaharau wafanyakazi wa Bashe wanadai stahiki zao halali.

Ebu inuka acha kuninginiza poumbou sofani ukamfungulie geti shemeji yako anapiga honi
 
AISEE KUMBE KUNA WATU HUMU WANAJUANA KIUNDANI NAMNA HII...?
 
"E="Viatu vya Samaki, post: 32205672, member: 521195"]
siku nikipotea huyo ndiye atawapa taarifa zangu. Naye siku akipotea niulizeni kumhusu yeye.
[/QUOTE]"Aisee wakuu tulizeni mishono mambo ya siri kama hayo ni ya kuyaacha kuwa siri kwani mnamfaidisha nani lakini?
 
Nini wewee mkaldayo? Unajiona umfika eee tangu dada yako hakutoe uswaz kwa kaka yako? Yani mmepiga fitina na dadako hadi shemeji yako kawatimua wote ndugu zake wa damu. Eti nawe mwanafamilia.

Hizo heavy meals unazoparamia kwenye friji iliyojaa marosoroso na mazagazaga zinakuvimbisha tumbo hadi unawadaharau wafanyakazi wa Bashe wanadai stahiki zao halali.

Ebu inuka acha kuninginiza poumbou sofani ukamfungulie geti shemeji yako anapiga honi
Kwa hiyo una manisha anomba shemeji yake asimwache dada yake wasije waka achika wote hapo nani kaolewa
 
Mpelekeni SHILAWADU kule pesa zitamtoka tu. Naskia kuna watu wakubwa sana wa umri wanaangaliaga hiki kipindi
 
Bashe huyu huyu anae ruka ruka kwenye tv akiwaponda makatibu wastaafu na waraka wao?? Aisee huyu jamaa ni mburura sijapata ona kelele zake za kuosema serikali na mambo ya uchumi kumbe ka kampuni tu kanamshinda kuendesha na uchumi wake wa makaratasi?
Acha masihara Bashe Hussein lipa mishahara ya watanzania hawa unaowanyanyasa kisa hawana kwa kusemea.
 
Back
Top Bottom