Unaandika hivi kwa kejeli kwasababu unaishi kwa shemeji yako. Dada yako anakukingia kifua. Kila wakati unaninginiza poumbou sofani na miguu juu yasofa na kugambaniana remote na beki tatu.Andikeni barua ya kumtaka aonane na nyie kabla ya kulalamika huku pasipo kujua kipi kimemsibu hadi kwenda kinyume na ahadi/barua yake kwenu.
Magdalena ujue Bashe ni msomali na una historia nao. Hebu tulia upambane na huyo msomali aliyekutimua na kisu.Unaandika hivi kwa kejeli kwasababu unaishi kwa shemeji yako. Dada yako anakukingia kifua. Kila wakati unaninginiza poumbou sofani na miguu juu yasofa na kugambaniana remote na beki tatu.
Unaandika hivi kwa kejeli kwasababu unaishi kwa shemeji yako. Dada yako anakukingia kifua. Kila wakati unaninginiza poumbou sofani na miguu juu yasofa na kugambaniana remote na beki tatu.
Alitaka ligi nami nikamkwepa sasa amejikuta anakuwa mnyonge kisa tu simpi ushirikiano..Hahaha nyinyi mnajuana wenyewe aise
Nini wewee mkaldayo? Unajiona umfika eee tangu dada yako hakutoe uswaz kwa kaka yako? Yani mmepiga fitina na dadako hadi shemeji yako kawatimua wote ndugu zake wa damu. Eti nawe mwanafamilia.Magdalena ujue Bashe ni msomali na una historia nao. Hebu tulia upambane na huyo msomali aliyekutimua na kisu.
Ukisikia Wasomali unapata fangasi kwenye mishipa ya fahamu.
AISEE KUMBE KUNA WATU HUMU WANAJUANA KIUNDANI NAMNA HII...?Nini wewee mkaldayo? Unajiona umfika eee tangu dada yako hakutoe uswaz kwa kaka yako? Yani mmepiga fitina na dadako hadi shemeji yako kawatimua wote ndugu zake wa damu. Eti nawe mwanafamilia.
Hizo heavy meals unazoparamia kwenye friji iliyojaa marosoroso na mazagazaga zinakuvimbisha tumbo hadi unawadaharau wafanyakazi wa Bashe wanadai stahiki zao halali.
Ebu inuka acha kuninginiza poumbou sofani ukamfungulie geti shemeji yako anapiga honi
siku nikipotea huyo ndiye atawapa taarifa zangu. Naye siku akipotea niulizeni kumhusu yeye.AISEE KUMBE KUNA WATU HUMU WANAJUANA KIUNDANI NAMNA HII...?
"Aisee wakuu tulizeni mishono mambo ya siri kama hayo ni ya kuyaacha kuwa siri kwani mnamfaidisha nani lakini?"E="Viatu vya Samaki, post: 32205672, member: 521195"]
siku nikipotea huyo ndiye atawapa taarifa zangu. Naye siku akipotea niulizeni kumhusu yeye.
Kwa hiyo una manisha anomba shemeji yake asimwache dada yake wasije waka achika wote hapo nani kaolewaNini wewee mkaldayo? Unajiona umfika eee tangu dada yako hakutoe uswaz kwa kaka yako? Yani mmepiga fitina na dadako hadi shemeji yako kawatimua wote ndugu zake wa damu. Eti nawe mwanafamilia.
Hizo heavy meals unazoparamia kwenye friji iliyojaa marosoroso na mazagazaga zinakuvimbisha tumbo hadi unawadaharau wafanyakazi wa Bashe wanadai stahiki zao halali.
Ebu inuka acha kuninginiza poumbou sofani ukamfungulie geti shemeji yako anapiga honi
Alitaka ligi nami nikamkwepa sasa amejikuta anakuwa mnyonge kisa tu simpi ushirikiano..
Kuna uzi wake mmoja hivi alijinasibu kuwa anapenda kutukanwa, sasa mtu kama huyo unamwangalia na kumsamehe tu.
Mwisho, jamaa hapigi mswaki.
Mbona mmetoka kwa mada kabisa...Hahaha